Diamond Platnumz, Baba Levo - Shusha lyrics

[Diamond Platnumz, Baba Levo - Shusha lyrics]

Ni saa la maangamizo hili chama la matatizo
(S2Kizzy, baby) mmmh heh heh, heh hey

Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Wapo top 10 (shusha, shusha)
Wapo on trending (shusha)
Wapo top 10 (shusha, shusha)
Wapo on trending (shusha)
Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Oh, nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)

Wanataka shindana na Simba (shusha, shusha)
Washindane na Dangote (shusha, shusha)
Wakati bado makinda (shusha, shusha)
Mie maji wao tope (shusha)
Eh, waulize wamesikia (wapi)
Panya kula paka (wapi)
Nasema wamesikia (wapi)
Kibogoyo akang'ata (wapi) waambie chocho
Hili chocho watu hawapitagi
Eh, waambie chocho
Sema fyoko tulianzishe vagi

Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Wapo top 10 (shusha, shusha)
Wapo on trending (shusha)
Wapo top 10 (shusha, shusha)
Wapo on trending (shusha)
Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Oh, nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)

Tumewapa nafasi kidogo wameanza kule zarau
(Shusha) wameshika visenti kidogo wanakandia
Mpaka wadau (Shusha)
Wamejisahau (shusha)
Wanaleta dharau (shusha)
Minapiga collabo na Simba
Wewe kapige na ngau (shusha)
Nazidi kushusha mangoma mpaka waseme
(Baba ni noma)
Nabado Nitawapa homa mpaka waseme
(Tumesha koma)
Maneno yanavyo wachoma mpaka waseme
(Rudi kigoma)
Nawamesha meza ndoano mpaka wateme
(Ahshusha)

Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Wapo top 10 (shusha, shusha)
Wapo on trеnding (shusha)
Wapo top 10 (shusha, shusha)
Wapo on trending (shusha)
Nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)
Oh, nawashusha (shusha, shusha)
Nawashusha (shusha)

Wana polomoka (aiiy)
Mmoja, mmoja chali chini (shusha, shusha)
Wanadondoka mmoja, mmoja chali chini
Wana polomoka (shusha)
Mmoja, mmoja chali chini
Wanadondoka (shusha, shusha)
Mmoja, mmoja chali chini

Chapa, chapa (chapa) sasa chapa (chapa)
Tia bakora (chapa) awana adabu (chapa)
Chapa, chapa (chapa) wanangu chapa (chapa)
Tembeza mboko (chapa) awana adabu (chapa)

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret