Dena Mwana - Roho yangu lyrics

[Dena Mwana - Roho yangu lyrics]

Sijuwe nitete ye je
Kwani maneno ya mimenipita aah
Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako

Huwezi ku pimwa hujuwa niya zangu uuh
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Maneno yangu machache kukueleza
Upendo wangu kwako sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako kwa kweli siwezi
Kusema chochote baba sikiya Roho Yangu
Aaaaaah aaaaah ouh aaaah
Sasa kama nvuwa
Maneno yangu yangu tiririka aah
Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu
Singeweza kusema
Ila ndani ya roho yangu ooouh
Baba hujuwa yote eiiii
Aksante kwa maisha ukweli njiya
Baba ubarikiwe

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako kwa kweli siwezi
Kusema chochote baba sikiya Roho Yangu

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako kwa kweli siwezi
Kusema chochote baba sikiya Roho Yangu
Humm kwa kweli siwezi
Kusema chochote baba sikiya Roho Yangu

Baba baaaaaba baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaaaaa ah baabababababa
Kweli siwezi kusema chochote eii
Baba wangu babaaa
Kwa kweli siwezi sema chochote
Sikiya Roho Yangu

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret