Diamond Platnumz - Kwanini? lyrics

[Diamond Platnumz - Kwanini? lyrics]

Ah! Usinione nalia moyoni naumia
Kila siku maugomvi, unanukia mabia
Ina maana unataka usema
Huu moyo wangu hatambui thamani ya mapenzi
Ndo imegeuka kuwa uadui

Nikakuimbia nyimbo bado nkakupa moyo bado
Nikakupa life, na true love ila baby bado
Nikakuimbia nyimbo bado nkakupa moyo bado
Nikakupa life, na true love ila baby bado

Ukose raha kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe

Nishachoshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Mara leo limekwisha hili
Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine
Choshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Leo limekwisha hili, kesho lingine eh!
You just don't know
Naumia umia umia umia umia eeeh ah!
You don't know naumia umia umia umia umia
Hiiiii

Ukose raha kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? Kisa, kupendwa nawe

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret