Harmonize - Tena lyrics

[Harmonize - Tena lyrics]

Kwanza nimekua nimemature
Mapenzi nayajua nje ndani
Ya walimwengu si unayajua badi tuombee dua
Mbona litakuwa apangalo maanani

And I just wanna make you my baby
And marry you today cuz I love you everyday
Forever and ever uuh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And I'm ready kula kiapo
Siwezi tabasamu usipo nilipo my boo

Tena nishapenda i'm in love
Nimependa tena ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu wakupenda tena
Nishapenda i'm in love
Nimependa tena ndo nishapenda

Yeah in a life kuna kupanda na kushuka
Na kuteleza si kuanguka
Ma X mtabaki kunikumbuka
Maana raundi hii sijakurupuka nina uhakika
Pili kwake nimefika tatu ye ndo anayepika
Mi napakua

Yeah wapo wanaodhani umeniroga
Ukinipa chakula unanipa na mboga
Mahaba yanamiminika tunaoga my baby eeh

And I just wanna make you my baby
And marry you today cuz I love you everyday
Forever and ever uuh
Ndugu jamaa na marafiki wapo
And I'm ready kula kiapo
Siwezi tabasamu usipo nilipo my boo

Tena nishapenda i'm in love
Nimependa tena ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu wakupenda tena
Nishapenda i'm in love
Nimependa tena ndo nishapenda

Tena nishapenda i'm in love
Nimependa tena ndo nishapenda
Eti mimi huyu huyu wakupenda tena
Nishapenda i'm in love
Nimependa tena ndo nishapenda

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret