Johnny Vigeti - Buddha Rangi lyrics

[Johnny Vigeti - Buddha Rangi lyrics]

Si unajua mambo, works nini? hee eeh!
Ha ha ha! Kweli man!

Naitangwa Johnny!
Homie, malaya kamwe si-mtombi! kweli man!
Kombi mishipa nje ya ma-poni okay, okay!
Huni machiza malazwa hosii Kama kawa!
Si-poni wengine bila hata msosi!
Mimi natokea D, sijui nyinyi mnaongea ni!
Watu watu wakutokea mdhii
Mavitu mingi mi siwezi kapotea mdhii
Moto ya mbali kuotea bui!
Toka before inatokanga ni raw
Inakuwanga ni war
Ma-shoka ma-blow unavunjangwa ma-jaw
Ulizanga Oteraw aha! yeah! Utapenda tu
Venye mchizi nateleza tu – (kweli man)
Design ya mboga ya mrenda doo
Na hiyo bado naiitanga mic check one two
(one two) dandora kwa nyumba
Ukijishasha unaporwa unadungwa

Bizy bizzy bizzy blazzy blazzy blazzy
Ikibidi uji-kaze kaze brathe
Siku hizi hatutaki skaji labde
Ikizidi basi ujikate fasteh!
Kama wewe bibi ipake mate
Sijui namna gani si
Mungu ye hawachi watu wake
Siku hizi niko busy nipate shakeh

Wanangumi wajadi tenee
Wasomi washijaki watembee
Ndipo nikivutaji kizee kick-ka-punda bana!
Kuperfect hii shit tunaunga njama
Kula nyasi huyu simba anakula nyama
Kujaribu kutu-diss tutakuandama
Tuta ku-tie na ship vile unazama
Utabanja design umevuta ganja
Kula mkwanja (haha)
Napigiwa verse mpaka… wadozi
Naacha home wife akimwaga machozi
Na haribu form like kuleta gogozi
Na kila mmoja anataka ku-sosi
Jicho nyanya utasema nimevuta bangi
Kutoka Mombasa ni mpaka kule Budalangi
Watoto wadogo wanataka toa buda rangi

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret