Puff Narcos, Kento - Toa Kutu lyrics

[Puff Narcos, Kento - Toa Kutu lyrics]

Sothing loco moco shika kemba toto
Fika keja morrow hiyo figa luku moto
Taka kichwa kape munju
Chimba chimba toa kutu lima lima toa kutu

Kemenyanya kamewaka
Kasha toa thong mi dara paka
Toka bedi sofa mangamanga
Nina nguvu ju kukumanga ikus inatupa
Ikus imefura
Nisharusha jitu juu kanasasambura
Joe kanagwaya bado kula kimtura
Toka hapa morrow bado kula kimtura
Toka hapa morrow matibabu ya dharura
Chapa chapa tako chapa chapa mbulu
Kanataka marko mi nitakadharau
Niko ritho macho kwao buruburu
Chali yake chizi ndume barubaru

Shika kemba finya
Chimba chenga
Chobo kanzu
Tinga pima
Lenga tenda
Chinja chini
Chini kona
Lima

Sothing loco moco shika kemba toto
Fika keja morrow hiyo figa luku moto
Taka kichwa kape munju
Chimba chimba toa kutu lima lima toa kutu

Today ni matiati shika tu kabangi
Nimefika sai leo nitabaki
Shika shika mwaga hadi ndani t-shirt n kahki
Mwaga mwaga mala mbaka achore saba
Dara tu kipara mshore kuwasaka
Geuza kipaka kilemba si bantana
Munjush lamaba lamba
Dudu inawasha lazima toa kutu
Nyu nyongwa like a bubu du Chonga munjulu
Chu rogwa na munju leo lazima toa kutu

Sothing loco moco shika kemba toto
Fika keja morrow hiyo figa luku moto
Taka kichwa kape munju
Chimba chimba toa kutu lima lima toa kutu
Sothing loco moco shika kemba toto
Fika keja morrow hiyo figa luku moto
Taka kichwa kape munju
Chimba chimba toa kutu lima lima toa kutu

Mwaga Mwaga mala mbaka achore saba
Dara tu kipara mashore kuwasaka
Geuza kipaka kilemba si bantana
Munjush lamba lamba
Dudu inawasha lazima toa kutu
Nyu nyongwa like a bubu du chonga munjulu
Chu rogwa na munju leo lazima toa kutu
Lima lima wote eeeh
Narcos na kento
Ni watoto wa mathare

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret