DC, Bustasulemz - SLAY QUEEN lyrics

[DC, Bustasulemz - SLAY QUEEN lyrics]

Sikuwa na pesa mingi
By that time ndo ulitaka kunifanya dingi
Nikapenda kwa hofu sana
Usije niumiza nikizama king
Ulipenda mitoko sio ya pesa kidogo ni
Ya pesa tu mingi mingi
Nikikosa unafoka nyumbani unaondoka
Unarudi mitungi mingi
Ukaona ni bora unikosee
Ila midollar nikuletee
Vacation unataka mayotte
Makosa ni kwenda wote

Hivo ndo unavyopenda we
Au nilikosa mi kukupenda
Mwenzako nahitaji kuwa na we
Au ni kosa mi kukupenda unavyopenda vya juu
Ukikosa makuu hautaki kuishi nafuu
Zako gharama za juu we

Slay queen slay queen
Slay queen slay queen
We!

Spend on my cash running around
No not now girl (Girrrl)
Kunionesha madharau hiyo sio sawa girl
(Girrl) you were right with me (yeah)
Kumbe unanilagia (poor me, Oh whyyy girrrl)
Why did you lie to me (Mh'mhhh)
You cut the real love you burned it (uhwii)
Nakuona yourface on my mirror
I get your body on my bad
Ulikuwa pale for my money (Yah)
Haupo na me now am lonely
Ndoto za usiku ni hold me

Hivo ndo unavyopenda we
Au nilikosa mi kukupenda
Mwenzako nahitaji kuwa na we
Au ni kosa mi kukupenda unavyopenda vya juu
Ukikosa makuu hautaki kuishi nafuu
Zako gharama za juu we

Slay queen slay queen
Slay queen slay queen
We!

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret