Daddy Cham - Kariakoo lyrics

[Daddy Cham - Kariakoo lyrics]

Karia! karia! karia kARIAKOO!
Karia! karia! karia! karia! karia! karia!
KARIAKOO!

Be humble huku watu hawakurupuki
Allikuja kununua suti chaajabu kauziwa chupi
(Kariakoo!)
Hii ni laki OG bei haishuki kanunua
Simu kufika nyumbani kufungua kumbe biskuti
(kariakoo!)

Kariakoo ni ndo chama la masela (kariakoo)
Mpera mpera macho kwenye hela (kariakoo)
Hewani inapepea kwa bendera (kariakoo)
Imeppeleka wengi huko jera (kariakoo)

Karia! karia! karia kARIAKOO!
Karia! karia! karia! karia! karia! karia!
KARIAKOO!

Maajabu nimeona mpaka nkashtuka


Mizigo ya kubebwa
Na Lori huku inasukumwa kwenye gutakariakoo)
Mungu wangu hivi sasa ndio nasanuka sina simu
Wala sina wallet na kibaka muda kasharuka

Kariakoo mishe mishe tunafight na misoto
Jichanganye kichwa kichwa uziwee tuh midosho
Dream chasers hatuchoki huku kukimbiza ndoto
Simba -Yanga derby letu huku linawasha moto

Karia! karia! karia kARIAKOO!
Karia! karia! karia! karia! karia! karia!
KARIAKOO!

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret