Diamond Platnumz, Koffi Olomidé - Waah lyrics

[Diamond Platnumz, Koffi Olomidé - Waah lyrics]

Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!

Kaghamu kupendwa na kaghamu nasikia
Tamu kupendwa nawe tamu kupendwa nawe, tamu
Tamu kupendwa nawe

Oh maneno maneno, tumeyazoea
Vijineno neno, tushazoea
Wapenzi wangu ku party kwani ninawahusu

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu
Udangaji umalaya, wao inawahusu nini
Wamegusa pabaya na mwaka huu
Lazima wachuchumae

Wameingia cha kike cha kike

Wameingia cha kike cha cha kike

Wameingia cha kike cha kike
Wameingia cha kike cha cha kike

Aah Bakokote Babu Tale don Mendez, Ba Junior

Chumbani Hennessy hunipatia panadol
Kuchenga za Mеssi na mashuti ya Ronaldo

Yaani ndani nikiingia tu
Anachukua anaweka Waah!

Ah kwenye gari anachukua anawеka Waah!

Iwe jikoni ama varandani
Anachukua anaweka Waah! Doze doze, doze doze
Anachukua anaweka Waah!

Yaani baadae salama joto toa leso nipepepee
Oya kombo joto toa leso nipepepee

Oya mzee kunami, jipepee
Oh Ricardo Momo, jipepe
Oya mama Ndangote, jipepe
Eeh Doni Fumbwe, jipepe

Juu juu, jipee juu juu juu, jipee
Juu juu, jipee juu juu juu, jipee

Na se na se
Na se na se
Papa Mobimba aye papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye papa Mobimba
Alobaka te anyataka trop akokaka
Te Sukuma aa Yes
Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma
Anyataka trop alelaka trop alingaka
Trop kanga ye Yes!
Tshuma tshuma tshuma tshuma
Fukama Fukama Fukama Fukama
Fukama Fukama Fukama Fukama papa Ngwasuma
Papa Ngwasuma dar es Salaam Ngwasuma
Kinshasa Ngwasuma

Eeeh aaah! Eeeh Weeeh!

Usiniguse, usinitouch tusalimiane kwa miguu
Usiniguse, usinitouch tusalimiane kwa miguu

Ooh nasema usiniguse, usinitouch
Salamu iwe kwa miguu

Usiniguse, usinitouch tusalimiane kwa miguu

Ooh kwanza kaa mbali
Corona coro, corona coro mwenzako naogopa
Corona coro, corona coro

Kwa tena vaa maski corona coro, corona coro
Mikono yako kuosha corona coro, corona coro

(Ayolizer)

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret