Harmonize - Happy Birthday lyrics
Harmonize/Konde Boy [Rajab Abdul Kahali] Mtwara, Tanzania 🇹🇿
[Harmonize - Happy Birthday lyrics]
Washa mishumaa, weka keki juu ya meza (Juu ya meza)
Oh, ila, usinicheke nimekuletea zawadi kidogo n'lichobarikiwa
Haki mwana mpweke, aje na dumu la maji, asije kakumwagia
Na kapicha kako nitaka-post, was'okupenda itawa-cost
Leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako, tunasema "Happy birthday"
Happy birthday to you, happy birthday to you
Happy birthday (Ah-ya-ya) to you, happy birthday to you
Sinywagi pombe leo n'talewa
Niwape shombe wal'ochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa
Pembe la ng'ombe au malewa
Ila usi-forgeti (Kusema), asante baba na mamaa wal'okukuza ukakua
Tunakupa na keki (Kwa wema), akulinde Baba Maulana, twakuombea na dua
Na kapicha kako nitaka-post, wasiokupenda nitawa-cost
Leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema "Happy birthday"
Happy birthday to you, happy birthday to you
Happy birthday (Ah-ya-ya) to you, happy birthday to you
Kata keki, kata (Kata), oh, kata (Kata)
Kata (Kata, kata unilishe) keki ya jina lako (Kata)
Walishe na wenzako (Kata), tupo kwa ajili yako (Kata, kata unilishe)
Basi kata (Kata), oh, kata (Kata)
Kata nikwone (Kata), kata (Kata unilishe)
(Kata, kata, kata, kata unilishe)
Na kapicha kako nitaka-post