Matata - Intro (Super Morio) lyrics

[Matata - Intro Super Morio lyrics]

Mum alisema, "Your the brightest star
Na usisahau that my love for you will go far

Naitwa Naomi Mwikali (Ndio mama Ken)
Bancy Nyaguthie (Mimi ndiye mama Richie)
Patricia Milanya (Mimi ndiye mamake Fred)
Kwa majina naitwa Everlyne Ojiambo
(Mimi ni mama Marcus)
Lucy Nyoroka (Mama ya Fezzo)
Richie akiwa class two hapo
Alikuwa ye anadance tu
Marcus akiwa na miaka kumi alitokea
Kwa kikundi ya kanisa
Nilijua huyu mtoto alikuwa na talent
Akiwa three years na nikambia
Mungu kwa sababu yeye ni Mungu
Ambaye hukuza talent amtangulie
Alikuwa anapenda muziki anapenda kudance

Matata, matata, matata matata



Na mimi huwa napenda hizo nyimbo zote
Lakini wimbo yenye napenda zaidi
Ni 'Mare Mare'
'Mapema' very first ilinifurahisha mpaka
Hata wa leo
Hii yenye ilitoka wanaimba 'Come baby
Come baby' hiyo ndio napenda sana
Ile ya uthoni inaitwaje?
'Ruracio' ndio na skizanga
Nikasema hawa watoto
Wamefikiria nini kuimba hiyo ya uthoni
Naskiza na kwa makini sana kwa
Sababu ninajua kama sasa
Mambo ya ruracio that is
'dowry' then wako gangare

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret