Sir Yongo, Blakes Ke01, Nilla Boy - Lewa lyrics

[Sir Yongo, Blakes Ke01, Nilla Boy - Lewa lyrics]

Lewa
Lewa
Leo ni kulewa
(S2kizzy baby)
Kesha
Kesha
Leo ni kukesha, Nilla!

Hehehehe
Hehehe
Blakes Ke01 on the top!
It's Sir Yongo!

Feel fine
The music, so fine
Baby girl, whine and shine
Beat killer, no a cappella
I'm dripping, Gucci umbrella
Your fashionista, fashion killa
With guys, Blakes and Nilla
Huu muziki, desturi na mila


Aisha, Shakila
Yvonne na Stela
Burudani ishajenga taswira
Wazungushie wakuone tahira
Hii sherehe haitaki hasira

Agiza mabia
Mimina, bugia
Kwenye giza namwita dear
Mchana n'kimwona namkimbia
Ayayaya yaya!
Oyoyo yoyo!

Shake
Shake one time, zungushia two times
Baby girl whine up, the nice dress up
Mimi niko ndani nacheki tu ma-dress up
No stress, hapa leo ni kukesha
Safari na Hennessy tunachanganyisha
Kesha, kesha, kesha
Lewa, lewa, lewa

Agiza mabia
Mimina, bugia
Kwenye giza namwita dear
Mchana n'kimwona namkimbia
Ayayaya yaya!
Oyoyo yoyo!
Ayayaya yaya!
Oyoyo yoyo!

Kumbe, kumbe
Kumbe ni kicheche
Kumbe, kumbe
Kumbe ni danga

The Mix Killer!

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret