Sir Yongo - Renee lyrics
[Sir Yongo - Renee lyrics]
Let me call a spade a spade
And not a big spoon
It's Sir Yongo
O-o-o-o
Beautiful music to beautiful girls
Ireene
Baby, baby, baby
Kipenzi Irene nakupenda baby wewe
Kipenzi Irene nakupenda baby boo
Kipenzi Irene nakupenda baby wewe
Kipenzi Irene nakupenda baby boo
Mapenzi ni upofu ndio maana sioni
Mwenzako naugua naona siponi
Maradhi ninayo na dawa ni wewe
Usije azizi ukaniachia kiwewe
Hayana mjuzi mababu walisema
Kubeba na nguvu amini ntakoma
Renee muhibu nimekuchagua
Nakupa moyo wangu ueke chukua
Dem kama wewe ni dem wa ki-sure
Takubeba melini mpaka mashua
Sura ya mvuto utadhani mdoli
Na macho yako mithili ya gololi
Hivi hujui ya kuwa silali
Mara nyingine na chakula sili
Mara nakonda mara mnyonge
Wewe mtoto please usipinge
Mapenzi majani popote huota
Na mtima wangu ulishauchota
Ni kikohozi kuficha siwezi
Kipenzi sogea nikupe mapenzi
Kipenzi Irene nakupenda baby wewe
Kipenzi Irene nakupenda baby boo
Kipenzi Irene nakupenda baby wewe
Kipenzi Irene nakupenda baby boo
Mtoto wa Bara nikulete Pwani
Utazoea mambo Uswahilini
Mimi ni Mdigo pia Mgiriama
Takupa mapenzi ya Kimijikenda
Mapenzi majani popote huota
Na mtima wangu ulishauchota
Ni kikohozi kuficha siwezi
Kipenzi sogea nikupe mapenzi
Ireene
Baby, baby, baby
You know what
This is Sir Yongo
(giggles)