Diamond Platnumz, Delvo - Magufuli Baba Lao lyrics
Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
[Diamond Platnumz, Delvo - Magufuli Baba Lao lyrics]
(Baba lao) John Pombe baba lao
(Baba lao) Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Ma Samia mama lao
(Mama lao) Majaliwa baba lao
(Baba lao) Bashiru
Baba lao (Baba lao) CCM chama lao
Kona kwa kona
Chocho tuchocho Kwa wakubwa mpaka
Watoto Magu anazidi
Pamba moto Wapinzani matumbo joto
Mmechoka eti?
(Aaah wapi) Mnataka lala? (Agah
Wapi) Wapinznai watatuzidi?
Aaah wapi) Wataweza huu muziki? Aaah wapi)
Sasa twende kisa mjini sambamba
Magu anazidi bamba
Anafufua na viwanda Ndege zetu tunapanda
Wataweza kweli?
(Aaah wapi) Kushindana nasi (Aaah
Wapi) Hata wakiungana
(Aaah wapi) Matusi kututukana (Aaah wapi)
Magufuli baba lao
(Baba lao) Joseph baba lao (Baba
Lao) John Pombe baba
Lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Ma Samia mama lao
(Mama lao) Olepole baba lao
(Baba lao) Mzee Mangula
Baba lao (Baba lao) CCM chama lao
Majib Selema Hadija Selema
(Selema) Wananchi wamesema Tunashinda
Tena (Eeh tena)
Wanadhani kura mseleleko Eeeh tunawakwepa
Watabaki masononeko Eeeh tunawacheka
Kwanza kunja gaju
(Eeh kunja gaju) Nikupe mikakati
(Eeh mikakati) Ameleta
Mwendo kasi Barabara juu na kati
Eeh shule za kata
(Ni bure) Sekondari (Ni bure) Hospitali Ni
Bure) Kwa wazee (Ni bure)
Sisi twashinda tena Sisi CCM
Twashinda ten Magu
Anashinda tena Magu Magu anashinda tena eeh
Samia anashinda tena Mama Samia
Anashinda tena Sisi
Twashinda tena Sisi CCM washinda tena eeh
Magufuli baba lao
(Baba lao) Joseph baba lao (Baba
Lao) John Pombe baba
Lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao)
Eeeh Makonda baba lao
(Mama lao) Eri James baba lao (Baba lao) Juma
Mabogi baba lao (Baba lao) CCM chama lao
Mzuka ukipanda Na hili shati navua
(Acha uongo) Mzuka ukipanda Na hili
Bukta navua (Acha uongo)
Jamani navua
(Acha uongo) Mama navua (Acha uongo) Mwenzenu
Navua (Acha uongo) Eeeh kuna BASATA!
Basi napiga Yope
(Huwezi) Oooh napiga Yope (Huwezi)
Magu napiga Yope
(Huwezi) Ma Samia napiga Yope (Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!Eeeeeh!
Eh!Eh!Eh! Eh Eh eeeh!
Wabunge napiga Yope
(Huwezi) Madiwani napiga Yope
(Huwezi) Wajumbe napiga
Yope (Huwezi) Wenyekiti napiga Yope (Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!eeeh!
Eh!Eh!Eh! Eh Eh eeeh!