Diamond Platnumz, Mbosso - Baikoko lyrics

[Diamond Platnumz, Mbosso - Baikoko lyrics]

Ayo, Lizer

Eh kako fine
Kila nikikaaga kwenye line bila bila
Shwaain kwake nimelewa kama wine
Tilalila
Ye sisimizi nami gegedu tuna gegeduana
(gegeduu) nilivyo sina jizi
Tajiri wa mbegu namuhonga na mwana
Baba Mndenge, Mama Mzaramo
Uno lake la kurithi (ah ah eh)
Kafunga tenge mwali chakaramu
Shetani mwana ibirisi jipu (jipu)
Uchungu (uchungu)
Mwana nyuma umejeza kishundundu
Kwenye zipu (zipu) kuna kirungu (kirungu)
Usikamate utawaita wazungu eh hey
Babu mkuna nazi (mkuna nazi)
Kachutama kishinani
Na msuli wake ukowazi (ukowazi)
Mambo yote hadharani

Oh go go go go go
Mtoto anadaka Golikipa lunyamila wabeja
Tena akikata anautikisa msambwandila
(Mbrrokee)

Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)
Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)

Asa komеsha dengua, dengua
Baby dengua, dеngua ringa dengua, dengua
Deka dengua dengua wakuone

Kananivua ndala miguu
Anataka nipite peku (peku peku) kunduchi juu
Anifikishe kwetu (kwetu kwetu)
Eh, utamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe kibada (kibada) hodari kunengua
Miuno ya ushubwada (ushubwada)
Nyuma kalisasambua
Kafungasha midabwada (bwada)
Anavyotafuna mua ka kibogoyo dada
Katoto kamelainika bwana (bwana)
Kukapa ndizi banana (na na)
Nakapeleka kwa mama (Mama, Mama Dangote)
Kama kuku twakimbizana (zana)
Kanaibuka kanazama (zama)
Kamwali kana balaa na Lana
(Lana, Lana Kazote)

Ebo mtoto anadaka Golikipa lunyamila
Wabeja tena akikata anautikisa msambwandila
(Mbrrokee)

Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)
Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)

Asa komesha dengua, dengua
Baby dengua, dengua ringa dengua, dengua
Deka dengua dengua wakuone

Kama anaifata anainama
Anainuka mwali anaisusa kwa kujishebedua
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kama hataki mwali anainama
Anainuka mwali anaisusa kwa madoidoi
Anainama anainuka mwali anaisusa
Mbrrokee

Ka mix Lizer wasafi

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret