Diamond Platnumz - Binadamu lyrics

[Diamond Platnumz - Binadamu lyrics]

Ayo ha ha
Yo, I'm back, Bob Junior, I'm back
Acha vita ianze wamechelewa

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
(Wabaya) ndugu, rafiki, nani ana roho safi
Nani ana roho mbaya (Mbaya)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola naomba nilinde niwe na upendo wa
Dhati wote niishi nao sawa

Nilipouanza mziki mbali na dhiki
Nimekutana na matatizo sana sikuwa rafiki
Sithaminiki bado kidogo mie tu nikate tamaa
Wangu moyo ulivumilia dharau na masimango mi
Mi wangu moyo
Ulivumilia utumwa na manyanyaso di
Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu
Nilikuwa naumia
Moyoni najipa moyo kesho nitakuwa maarufu
Mwisho wa siku nafulia
Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu
Nilikuwa naumia
Najipa moyo kesho nitakuwa maarufu
Mwisho wa siku nafulia

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
(Wabaya) ndugu, rafiki, nani ana roho safi
Nani ana roho mbaya (Mbaya)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola naomba nilinde niwe na upendo wa
Dhati wote niishi nao sawa

Kidogo nakula na mama yangu
Siwezi kuwasahau na ndugu zangu
Upendo popote alipo kwa baba yangu
Japo alinikataa
Ah, bata nakulaga mi na rafiki zangu
Tunacheza Reggae na masikini mwenzangu
Alazwe pepa peponi na bibi yangu
Mjukuu wake Sanana sababu ya ugumu wa maisha
Na maumivu ya mapenzi
Nikaandika "Kamwambiе"
Ndo hapo hustle zikaisha
Kabariki Mwenyezi watanzinia wanizimiе
Asa hivi kwenye tamasha tu
Likitajwa jina watu wanashangilia
Wengine furaha inazidi kina
Hadi kabisa wanalia
Asa hivi kwenye tamasha yaani
Ikitajwa jina watu wanashangilia
Wengine furaha inazidi kina
Hadi kabisa wanalia

Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
(Wabaya) ndugu, rafiki, nani ana roho safi
Nani ana roho mbaya (Mbaya)
Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
Mola naomba nilinde niwe na upendo wa
Dhati wote niishi nao sawa

Eiih tena wabaya sana
Ooh, wanakatisha tamaa eiih
Ooh, wabaya tena wabaya
Ooh, ah sana
Wabaya sana wabaya sana
Mmmh, wabaya sana

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret