Diamond Platnumz - Haunisumbui lyrics

[Diamond Platnumz - Haunisumbui lyrics]

Si Kokoko Si Kandambili
Yani Vyote Havikupendezi
Mwana Ngoko Usonawili tope Bin Uterezi
Utaishia Kututabiri Tubomoke inasonga Miezi
Mola Amesha Takabiri
Usijichoshe Halivunjiki Penzi
Ona! Umekosa Nuru umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru ukifika Wananuna
Ndondondo Mwana Chururu
Asie Buzi Wataka Chuna mengine Nisikufuru
Hhmm! Hazikukai Maskara
Wala Makeup Zinakushuka uso Umekuparara
Mwili Shockup Zimetenguka uso Sauti Ya Stara
Pakudeka Unawehuka jibwa Koko La Mbagala
Unabweka Na Kubwetuka Wala!

Wala Haunisumbui Wala wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala wala Haunisumbui Wala

Na Izo Post Mara Kubebana
Mara Eti Mnabusu Mtamaliza Bando
Unaowatuma Kunitukana siogopi Mashushu
Mi Wala Michambo kutwa Kwa Mapage Feki
Kama Lokole Inahusu? Mkwe Akutaki Eti
Mwenzangu Pole Mbona Kuntu
Vimeseji Kujitumisha Kwa Ndugu Zangu Marufuku
Nyota Imekufubika usifosi Umaarufu
Upepo Wa Kisulisuli umekuchukua Na Nuksani
Tanga Lipulipuli wanakununua Kwa Mizani
Kwangu Pambe Shughuli najiashua Burudani
Nna Toto Zurizuri
Nimelitua Tuli Ndani Yiih Yiih Iih Iih!
Umekosa Nuru umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru ukifika Wananuna
Ndondo Mwana Chururu asie Buzi Wataka Chuna
Menginе Nisikufuru usie Wa Shaba Wala Chuma

Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunikondeshi)
Wala Haunisumbui Wala (Mujipost Mainstagram)
Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunitetеreshi)
Wala Haunisumbui Wala (Waalaah)

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret