Diamond Platnumz, Fally Ipupa - Inama lyrics
Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
Fally Ipupa [Kinshasa Zaïre/Congo] 🇨🇩
[Diamond Platnumz, Fally Ipupa - Inama lyrics]
Kukudekeza kama mtoto furaha unafurahia
Alafu geuka moto machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta hivo asiyekupenda
Achana naye anayekupenda
Pendana naye mambo stress
Ya nyumba ndani ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Asa inama ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
Oya inama (inama beiby)
Basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama (inama beiby) ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo
Toujours l'amour e'bandaka na esengo
Ba bisous ba calins
Ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi? chérie na ngai azali ehhh
Tango nionso alobelelaka nga Je t'aime
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe teh!
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe teh!
Chérie na ngai aza kitoko
Chérie na ngai aza elengi trop
Chérie na ngai aza kitoko
Chérie na ngai aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué mais chérie
À moi est toujours romantique
Asa inama (Oh oh oh)
Ebu pinda mgongo (nakupenda mtoto) oya inama
(bana inama) basi pinda mgongo
(bébé na ngai eh, na lela oh ohohoh)
Asa inama ebu pinda mgongo (ooh mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli
Ah nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (analilili)
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (silali)
Analishare lishare (oooh)
Yeah Samuel Eto'o didier Drogba
Wasafi fally Ipupa, Tokooosss
Toza likolo, Bakokoka Té (Kokate)