Diamond Platnumz - Kamwambie lyrics

[Diamond Platnumz - Kamwambie lyrics]

Nenda kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi
Nasema kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi

Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
Kwa vile mali yake, yeah, yeah
Natamani ila tatizo siwezi
Huenda ingefanya nielewe (ah, ona)
Si alinifunza mapenzi
Nilikuwa sijui kamwambie
Akanidekeza kishenzi
Kwa nyimbo nzuri nimwimbie

So asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda
Kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisike mapenzi
Moyo wangu unaumia, eh ah

Nenda kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpеnda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi
Nasеma kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi

Ah nasema siku hizi hakuna fungate
Mapenzi hayana thamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache
Wengi wanatamani
Ooh, wanaanzaga kwa tafadhali
Wakishapewa wanapotea
Mmmh, nenda mwambie ajihadhari
Na dua njema nawombea

So asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda
Kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisike mapenzi
Moyo wangu unaumia, eh ah

Kamwambie kamwambie
Kamwambe kamwambie
Kamwambie kamwambie
Kamwambie kamwambie

Nenda kamwambie (uh huh, Kamwambie)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
(Tena napenda sana)
Na kama mapenzi bado (uh huh, Mmmh, yeah)
Mwambie nitayongeza mi (Nitayongeza mama)
Nasema kamwambie (uh huh, Kamwambie)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
(Napenda sana) na kama mapenzi bado (uh huh)
(Mmmh, yeah) mwambie nitayongeza mi
(Nitayongeza mama)

Yeah but thanks, Bob Junior
Mr chocolate Flava sharobaro Records
Records records, records
It's Diamond Platnumz, baby yeah
Holla back, ladies
It's time to hang lovely, lovley

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret