Diamond Platnumz - Kizaizai lyrics

[Diamond Platnumz - Kizaizai lyrics]

Yanaanza kama safari twende fulani ukaone
Kumu yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi, eh
Yanaanza kama safari twende fulani ukaone
Kumu yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponi, eh

Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate eiih
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia ila yasikupate

(Kizaizai) nyie mapenzi yanauma (eh eh)
(Kizaizai) yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)

Eh grazie
Grazie

Mmmh yanayima furaha
Mmmh mmh yanakosesha raha
Eh, eh eh yanayima furaha
Mmmh mmh yanakosesha raha
Mmmh mmh tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue tena usiombe kupenda
Ulie mpenda ajue
Amani utakosha Karaha jamani
Dunia tena chungu kufa utatamani

Eiih mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate eiih
Mungu aliumba dunia na maajabu yake
Ya mwenzako sikia ila yasikupate

(Kizaizai) nyie mapenzi yanauma (eh eh)
(Kizaizai) yanaumiza (Kizaizai)
Oh, kizunguzungu (KIzaizai)
Jama mapenzi mabaya (Kizaizai)
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie mapenzi karaha (Kizaizai)

Baba na mama watake (Kizaizai)
Chakula tamu ni sumu (KIzaizai)
Mashoga sasa wanafiki (Kizaizai)
Kulala nanyi ni ngumu (KIzaizai)
Eiih, yanauma (Kizaizai)
Tena yanauma sana (Kizaizai)
Yanauma (Kizaizai)
Oh, yanauma sana (Kizaizai)

Oh oh oh (Kizaizai) eh eh (Kizaizai)
Eh eh eh eh (Kizaizai) ayo (Kizaizai)
And this is kid from Tanzania (Kizaizai)
Diamond Platnumz, baby (Kizaizai)
In See Records (Kizaizai) naples (Kizaizai)
Italiano, baby (Kizaizai) holla (Kizaizai)
Twende (Kizaizai) suka
Suka suka
Suka suka
Suka suka
Suka suka
Suka suka
Suka suka
Suka suka
Suka (Kizaizai) suka, aja (Kizaizai)
Mila, kata, aga, twende (Kizaizai)
Ha, ha, ha (Kizaizai) ha, ha, we (Kizaizai)
Thank you, See Records thank you

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret