Diamond Platnumz, Rich Mavoko - Kokoro lyrics

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿

[Diamond Platnumz, Rich Mavoko - Kokoro lyrics]

"Kokoro" ft Diamond Platnumz wasafiii
Hayaa ayoo Laizer
Wasafi Records

Me and You till i die
Babe Chimamy White Mmasai mzuri hadi ndani
I know you like Mumbai upo kama nyumbani
I can buy you Hyundai haifiki Mwakani
Tena hujui poda wala Hupaki Mascara
Shape nyuma kigoda sauti kama ya Stara
Una lips nyembamba toto la mujer de mi vida
Kiuno cha kuvaa Khanga
Macho kama umenyonya weeda

Oh Oh baby (Aaaah) Girl i want to see
(Aaaah) Ah baby (Aaaah) O-o-o oh
Girl i want to see (Aaaah) Oh baby

Asa Kokoroko (ooooooh) Kokoroko
Asa Kokoro baby asa Kokoroko
Eeeeeh Kokoroko anifinyie kwa ndani


Asa Kokoroko (ooooooh) Kokoroko
Asa Kokoro baby asa Kokoroko
Eeeeeh kokoro napendagaa

Aaaaah Diana, Sister Diana
Mhhh Halima, Sis Halima
Una pigo za ki Lady Gaga
Nyuma laini kama Burger
Zigo la kuvunja chaga kifaranga kimetaga
Kwanza mwasi matata unavyosakata
Kiuno talanta mavi karata
Jini Makata avonikamata
Kichwa na ngata soka samatta

Heee eeeh
Mashallah mie kwake tafarani (Heee eeeh)
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
(Aaaah) yayaaa girl i want to see
(Aaaah) Ah baby (Aaah) ooooh
Girl i want to see (Aaaah) oh baby

Asa Kokoroko (ooooooh) Kokoroko
Asa Kokoro baby asa Kokoroko
Eeeeeh Kokoroko anifinyie kwa ndani
Asa Kokoroko (oooooh) Kokoroko
Asa Kokoro baby asa Kokoroko
Eeeeeh Kokoro napendagaa

Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuubudaa (Heee eeeh)
Mashallah mie kwake tafarani (Heee eeeh)
Anavyonisasambua kama nguo mnadani yayaaaiya

Yebaaaaa! Anadodoaaa (dodoa) yeeih!
Anadodoaaa (aaahh) dodoa aariririririiii
Anadodoa mashetani yamepandaa (dodoa)
Kiti kavunja manyanga (anadodoa)
Mgonjwa anatibu mganga (dodoa)
Anandondoka (anadodoa)
Mwenye nyumba kapanga (dodoa)
Boringo limekuwa vanga (anadodoa)
Maiti kavuliwa sanda (dodoa) ooooh ooh ooh

Hahah Hawatoweza

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret