Diamond Platnumz - Lala Salama lyrics

[Diamond Platnumz - Lala Salama lyrics]

Lala salama matatizo, chuki, lawama

Uki la lala salama kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana nipige simu yangu
Uki! Uki la lala salama kumbatia picha yangu
Matatizo,  chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu

Najua wivu ndio mapenzi ila chunga usizidi
Si unajua kwako sijiwezi ila dhiki imebidi
Mi nili tamani si ni kuwa nawe
Tuwe wote usiku na mchana
Kilichofanya mi nipagawe
Sina chcochote cha kuwalisha wana
Niliupokea kwaunyonge msiba wakaka bona
Ile barua yako wa mwisho
Ilinitonesha vidonda
Usijali, nilai kipenzi changu
Ukazani nimekumbwa, na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana, ya kesho niombe

Uki la lala salama kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana nipige simu yangu
Uki! Uki la lala salama kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu

Ile 'kuo uone', nilidhani maghorofa
Ah! Kumbe mwana ukome hakuna cha kuokota
Mi bado nakaza moyo changu kipenzi
Ilia naumia kwa kuwa mwenyewe
Natamani ila siwezi
Nazitafuta nije kula na wewe
Msalimu mama nyumbani usisema kama nahenya
Tai! Mfiche mpe imani karibu ntakuo chema
Usijali, nilai kipenzi changu
Ukazani nimekumbwa, na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana, ya kesho niombe

Uki la lala salama kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana nipige simu yangu
Uki! Uki la lala salama kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret