Diamond Platnumz, Zuchu - Litawachoma lyrics

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿

[Diamond Platnumz, Zuchu - Litawachoma lyrics]

Habiby Louzii kipenzi Changu Cha Ngama
Mi Ma Wewe Hadi Milelee komesha Wachokozii
Wabaki Kututazama tuwatoe Jasho La Nywele
Mhh! Nimesikia Khabari
Eetii Kuna Mtu Twamkera
Oooh Mbona Akae Tayari
Maana Bado Muvi Hili Trelaaa
Na Usiku Nikumbate (Iteh Teh Teh Teh)
Oooh My Baby Boo (Iteh Teh Teh Teh)
Kwa Gego Ning'ate Nga’te (Iteh Teh Teh Teh)
You Know I Love You
Nikizidi Ugomvi Unichape (Iteh Teh Teh Teh)
Silaha Runguu (Iteh Teh Teh Teh)
Kwenye Joto Nipepee (Iteh Teh Teh Teh)
Mwandani Wanguuu penzi Letu Kwao Fayaa

Na Litawachoma Sana Mhhh Litawaumaa
Na Litawachoma Sana Eh Kwa Roho Mbaya Zenu
Na Litawachoma Sana Ooh Na Hatuachanii
Na Litawachoma Sanaa



Mhh! Ada kinachotakasa Nafsi Huba Si Sabunii
Kwangu Usiwe Na Wasi Nishaacha Uhuni
Ada Kama Moyo Jiko Basi We Ndo Wangu Kuni
Mapenzi Soka Nipe Pasi Ntie Nyavuni
Tena Wasikutishe Kwa Jumbe Zao Za Kata
(Kataa)
Mi Ndo Kamati Kuu Hapa Jimbo Umepata (Pataa)
Mahaba Ni Tashtiti Na Baby Unayajua
Siwezi Fanya Ya Shishi Uchebe Kukubutua
Waambie Na Ibilisi kwetu wanajisumbua
Huu Mfupa Kashindwa Fisi wao Paka Utawaua

Dodoo Dodo (Nimeokota Dodo Na Mjani Wake)
Nimeokota Dodo litaemkera Ni Shauri Zake
Simba Nimelipata Dodo
Nimeokota Dodo Na Mjani Wake
Oh Mi Mwenzenu Dodo
Litaemkera Ni Shauri Zake na Litawachooma

Na Litawachoma Sana Mhhh Litawaumaa
Na Litawachoma Sana Eh Kwa Roho Mbaya Zenu
Na Litawachoma Sana ooh Na Hatuachanii
Na Litawachoma Sanaa

Asa Baby Nichezeshe Ngondo
Ngondo Ngondoigwa Ngo ah Tulicheze Ngondo
Ngondo Ngondoigwa Ngo
Eeeh Timbwili Timbwili Tutimbwilike
Ngondo Ngondoigwa Ngo (O-o-o ooh)
Mpaka Kupambazukee
Ngondo Ngondoigwa Ngo (Ai Ngondo)

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret