Diamond Platnumz - Mawazo lyrics

[Diamond Platnumz - Mawazo lyrics]

A-A-A, AM Records

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo mana!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo mara!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo

Ah! Sikujua mapenzi bala
Tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha
Yanajenga chuki na choyo kwenye cover
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua licha ya burudani
Ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtani
Kaamua kutimua inaniuma sana

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (mmh mawazo) mana!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)
Mara! Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)

Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo

Yule jini kisirani kainiga
Kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia naila na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia
Kwenye utamu wa penzi langu ameleta tafarani
Mwenzenu naila na moyo wangu
Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ni naumia
Kweli wapendanao ndio madui zikitimia
Lile tinga langu la maraha
Leo limekuwa sumu kwangu
Oh na tena sina raha
Ninacheka nalia na moyo wangu

Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo mana!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
Ili nipunguze mawazo mara!
Mchana kutwa hata usiku silali
Mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia! Ubongo unapata mawazo

Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua licha ya burudani
Ya mapenzi yangu akatimua
Utu wangu na thamani
Ina mana kweli hakuvijua licha ya burudani
Ya mapenzi yangu akatimua

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret