Diamond Platnumz - Mbagala lyrics

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿

[Diamond Platnumz - Mbagala lyrics]

Mbagala Lyrics mmmh mmh mmh mmh
Mmmh mmh

Busara na upole
Na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu
Mama vyote haukuvijali
Ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
Akuti na Mkole
Ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
Eti kisa mali
Ukaona bora uniache mimi na uolewe

Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
N'liumia sana sana
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
(uh huh)
Unavishwa pete unakua mke wa fulani (uh huh)
Niliumia sana mi niliumia sana, sana

Tatizo kwetu Mbagala


Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala ukaona mapenzi siwezi

Ah ah ah ah ungejua jinsi gani
Machozi n'lolia kwa uchungu wa penzi langu
Na mwenzio jinsi gani
Vile nimeumia moyoni hata kupendwa sitamani
Utamu wa mapenzi mwenzako umеkula kwangu
Ma' mwenzio sitamaani
Hata raha tena mi sioni

Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu
Vile akinuna mpaka atabasamu mmеfanana sana
Sana
Mi' mwenzako tena mapenzi mi' sina hamu
(uh huh)
Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam mu
(uh huh) nataka niende mbali
Niepuke visa na walimwengu
Mi' mwenzenu siwezi

Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala ukaona mapenzi siwezi

Nasema Mbagala mbagala
Mbagala ah ah ah ah
Mbagala ukaona mapenzi siwezi
Nasema Mbagala (Mbagala) mbagala (Mbagala)
Mbagala (Mbagala) eh eh eh eh
Mbagala ukaona mapenzi siwezi

Tatizo kwetu Mbagala (ooh, Mbagala)
Hapa nyumba mbele jalala (mbele jalala)
Tatizo kwetu Mbagala (mama)
Ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala (hii)
Hapa nyumba mbele jalala (ooh)
Tatizo kwetu Mbagala (mama)
Ukaona mapenzi siwezi (mama)

Mbele jalala kwetu Mbagala
Eh eh eh yeah, eh eh
Hii na na na
Na na na eh, eh eh

Ayo, ha ha yo, I'm back, ladies, I'm back
It's Sharobaro President bob Junior
Mr chocolate Flava
Yo, I'm back, Diamond, I'm back ha ha
Nimemaliza

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret