Diamond Platnumz - Moyo Wangu lyrics

[Diamond Platnumz - Moyo Wangu lyrics]

Lamar it's a Fish Crab presentation
Diamond it's a Fish Crab Niekamp
Ladies and gentleman wasafi

Moyo wangu moyo wangu mama,  eh
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu moyo wangu mama, eh
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Ah ah ah upole wangu simanzi
Eh kwangu kupenda maradhi
Iih lakini kupendwaga mi naye
Bahati nuwaga sina jichoni kwangu kibanzi
Eh ninakapenda kamanzi
Iih licha ya kumthamini kama shilingi
Tatizo hata raha sina

Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu)
Unatazama mengi yanayonipa mateso
Ukweli hata kupenda sina raha
Ona nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina
Lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara, eh mara, iih
Hata najuta kupenda

Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo mama)
Moyo wangu mimi (ah ah ah)
Umeniponza mama (oh oh oh)
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo mama)
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Mmmh, tena ni kutwa kucha maneno
Kosa sikosa maneno
Ili mradi ru karaha tantaila mmmh, sina raha

Wala sina tena mipango (ho)
Kutwa nzima na mawazo Gina ah ah
Ooh, sina raha oh mama
Tamu ya wali ni nazi eh
Raha ya supu mandazi iih
Raha yangu mi kupendwa tu naye
Lakini nyota sina laana napata na radhi
Eh nawakufukuru wazazi
Iih kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye
Lakini bahati sina

Masikini roho yangu (roho yangu)
Ingelikuwa ni nguo ningempa avae
Kila kona akipita wamsifie
Ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina
Lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara, eh mara, iih
Hata najuta kupenda

Moyo wangu (eh eh eh eh)
Moyo wangu mama, eh (eh eh eh eh eh)
Moyo wangu mimi (ah ah, oh oh)
Umeniponza mama (oh oh oh)
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo wangu)
Moyo wangu mimi (eiih) umeniponza mama
Moyo wangu moyo wangu mama, eh
Moyo wangu mimi umeniponza mama
Moyo wangu (moyo mama)
Moyo wangu mama, eh (moyo mama)
Moyo wangu mimi umeniponza mama

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret