Diamond Platnumz, Zuchu - Mtasubiri lyrics

[Diamond Platnumz, Zuchu - Mtasubiri lyrics]

Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona, na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia  (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia oh unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia

Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri
Wanasubiri tuachane mtasubiri sana mtasubiri
(Oh, vuten kiti mkae)
Mtasubiri sana, mtasubiri

Oh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Oh baby vya chakuchaku vitanifuja
Oh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Oh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba

Eti unanipenda mi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia unanipenda mimi (Mmnh)
Unanitaka pia (Mmnh) unaniamini (Mmnh)
Na umeniridhia

Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh mtangoja)
Mtasubiri sana, mtasubiri (Oh)
Wanasubiri tuachane mtasubiri sana mtasubiri
Mtasubiri sana, mtasubiri

Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kеsho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret