Diamond Platnumz - Niache lyrics

[Diamond Platnumz - Niache lyrics]

Hhhhmm eti nikuombee mema
Na baraka uzidi fanikiwa
Siwezi kamwe wala (Hhhhmm)
Ni sawa na kuiforce sinema
Kuitazama na haijanivutia
Lazima tu ntalala (Oooh)
Na kwa barabara ukipita
Nenda kulia ukiniona kushoto
Sitaki hata tuonane (Hhhhmm)
Usije wala ukaniita
Donda vilia utanchochea tu moto
Nisije nkutukane (Hhhhmm)

Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu Kujishongondoa
Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha
Mwenzangu Nje unayatoa
Wewe cement mimi mchanga
Nkasema Penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa

Niache! Niache!
Niaache! Oh Niache niache!
Nipambane na moyo wangu niache! (Niiaaa)
Niache! (Moyo wangu una hasira)
Niaache! Oh Niache niache!
Oooh Oh!

Najitahidi nisilale kwenye kitanda
Huenda ntapunguza ndoto zako hhhhmm
Mwilini nina machale utadhani mwanga
Yote kuusahau uwepo wako hhhhmm
Laiti kama ningekuwa gari
Ningekugonga barabarani ama nyuki mtoa asali
Nkung'ate sura wasiitamani
Hivi wewe ungo ulivunja mwali
Ama ulivunja sahani
Kuniundia mateam kwa mitandao
Vijembe vya kazi gani

Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu Kujishongondoa
Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha
Mwenzangu Nje unayatoa
Wewe cement mimi mchanga
Nkasema Penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa

Niache! Oooh Niachee
Niache! (Mimi moyo wangu una hasira)
Niaache! (Tena ukae mbali)
Niache! (Oooh Niachee)
Niache! (Usiwapigie rafiki zangu)
Niache! (Usithubutu hata simu yangu)
Niaache! (Chonde tafadhali) niache! (Niiaaa)

Iyoo Lizer hhhhmm
Ntakudanganya kwa tabasamu
Ntakudangany kwa kucheka
Ntakudanganya hata kwa salamu
Ila moyoni nakuchukia
Nitakudanganya kukufollow
Nitakudanganya kucomment
Nitakudangaya kulike picha
Ila siwezi kukuzimia mxiuuuuu

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret