Diamond Platnumz, Hawa Ntarejea - Nitarejea lyrics

[Diamond Platnumz, Hawa Ntarejea - Nitarejea lyrics]

Ah ah ah

Vipi mizigo umeshaweka tayari mmmh, ah ah
Sijechelewa nkaachwa na gari mmmh, ah ah
Basi jikaze usilie mpenzi ah ah ah
Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi ah ah ah
Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma sema ntafanya nini
Na pesa sina nakuonea na huruma
Bora niende mjini kusaka tumaa

Kama watoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Wadanganye na vibagia (wadanganye)
Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
Kama watoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
Na kila siku kuniombea (nirude salama)

Wanajua kwamba nafsi na roho
Vitakuwa na wasiwasi ukumbuke na moyo
Utajawa na simanzi
Ntakapokuwa nakwenda shambani
Afu niko peke yangu honey
Ntapokuja kuwa na majirani nitaumia ah ah ah
Pale napotoka kisimani (ah ah)
Ama nipo na kuni kichwani (ah ah)
Sina wakunitua nyumbani nitalia
Maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo
Hata mwenzako sijawahi kufika Dar
Huu ndio mwanzo
Vile nakwenda na sijui pa kukaa
Wala mavasi, oh oh
We niombee niepushwe na balaa
Na maradhi, oh oh eh eh

Kama watoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Wadanganye na vibagia (wadanganye)
Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
Kama watoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
Na kila siku kuniombea (nirude salama)

Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Usisahau kama mkeo na wana
Umetuacha na dhiki
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Usisahau kama mkeo na wana
Umetuacha na dhiki
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki eh eh

Nitrarejea mama niombee nirude salama
Oh, watoto wadanganye hii
Ooh ooh ooh, oh oh tusale
Usijali hmm, kama

Kama watoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Wadanganye na vibagia (wadanganye)
Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
Kama watoto wakinililia (kama)
Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
Na kila siku kuniombea (nirude salama)

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret