Diamond Platnumz - Ntampata Wapi lyrics

[Diamond Platnumz - Ntampata Wapi lyrics]

Clever Touch wasafi

Sura yake m'taratibu mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu ila namkumbuka sana
Umbo la'ke mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu siri yangu ukaribu
Bado namumbuka sana

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale lakini hata hakujali
Darling akatewa na wale
Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafuta tukale ila wala hakujali
Darling ah ah

Ntampata wapi kama yule
Niliompendaga sana ntampata wapi
Kama yule unanipenda sana
Ntampata wapi kama yule
Niliompendaga sana ntampata wapi
Kama yule unanipenda sana

Ah ah, nyota
Nyota ndo tatizo langu eh, nyota
Hadi nalia peke yangu ah, nyota
Nyota ndio shida yangu nyota
Wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba garri (garri)
Mi kapuku hakunijali (jali) akanikimbia
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba garri (garri)
Mi kapuku hakunijali (jali) akanikimbia

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale lakini hata hakujali
Darling akatewa na wale
Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafuta tukale ila wala hakujali
Darling ah ah

Ntampata wapi (oh, wapi) kama yule (eh)
Niliompendaga sana
Ntampata wapi (napenda sana)
Kama yule (oh, sana) unanipenda sana (eh)
Ntampata wapi kama yule (napenda sana)
Niliompendaga sana
Ntampata wapi (napenda sana)
Kama yule (oh, sana) unanipenda sana (e)

Bado ananijia ndotoni (bado)
Kila nikimka simwoni (bado)
Bado ananijia nkilala (bado)
Haki ya Mungu si o masiala
Bado ananijia ndotoni (bado)
Kila nikimka simwoni (bado)
Bado ananijia nkilala (bado)
Haki ya Mungu si o masiala

Yo, Touch Clever (bado)
Hii ni Sauti wa Raisi (bado)
Ilomshindaga ibilisi (bado)
Kwa mwanadamu si o rahisi na wambie (bado)
Lazima ujue kutofautisha (bado)
Kati ya msalaba na jumlisha (bado)
Kuna X ya kuzidisha (bado) ni cheche
Bado ananijia nkilala
Haki ya Mungu si o masiala

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret