Diamond Platnumz, Chege - Ntashinda lyrics

[Diamond Platnumz, Chege - Ntashinda lyrics]

Check it out oh na na na na na na na
Eh eh eh oh na na na na na na na
Eh eh eh oh na na na na na na na
Eh eh eh oh, this is the remix
Oh na na na na na na na oh oh oh

Salamu zangu za kwanza
Ah, ziende kwa Mola na mama
Za pili Chamng'aza oh, mwambie asante sana
Za tatu dada angu asma na Halima Kimwana
Oh, mie usijali sijachoka napambana
Hii dunia ina mengi yenye raha na matatizo
Ogopa mapenzi oh, maana waga shinikizo
Hii dunia ina mengi yenye raha na matatizo
Ila sio mapenzi ndo huwaga chanzo cha vita

Oh na na na na na na na
(Oh, najua wananpinga)
Oh na na na na na na na
(Ila naamini ntashinda)
Oh na na na na na na na
(Hata wewe unapingwa)
Oh na na na na na na na
(Ila amini ntashinda)

Ayayayaya (hey) ayayayayaya (hey)
Ayayayaya (Oh, tena raha na matatizo)
Ayayayaya (hey) ayayayayaya (hey)
Ili mradi wakuharibie

Mola oh, nilinde rafiki zangu
Na uwape upendo ndugu zangu
Mola oh, nilinde na Tale wangu mimi
Na niwapende na maadui zangu
Tai nnaonekana mjinga ila kwetu ulefunzwa
Ndio maana kila wasemapo huwaga nakuza
Vimaneno maneno haviwezi niuguza
Sio siwezi najua ndo chanzo cha vita

Oh na na na na na na na
(Oh, najua wananpinga)
(Mi najua sana) Oh na na na
Na na na na (sana, Ila naamini ntashinda)
(Oh, naamini) Oh na na na
Na na na na (naamini, Hata wewe unapingwa)
(Hata wewe) Oh na na na na na na na
(Ila amini ntashinda)

Ayayayaya (hey) ayayayayaya (hey)
Ayayayaya (Oh, tena raha na matatizo)
Ayayayaya (hey) ayayayayaya (hey)
Ili mradi wakuharibie

Oh na na na na na na na
(Oh, najua wananpinga)
(Najua sana) Oh na na na na na na na (sana)
(Ila naamini ntashinda)
(Naamini) Oh na na na na na na na
(Hata wewe unapingwa)
Oh na na na na na na na
(Ila amini ntashinda)

Oh oh oh ah, ziende kwa Mola na mama
Ah ah ah umwambie asante sana
Oh oh oh tonsa Mwamba au Karama
Imma umwambie Tumi asante sana

Eti Tuddy anaringa q Boy anaringa
Mara Romy anavimba kuzusha zusha bwana
Aga, Chege anaringa sota anavimba
Mkubwa Fella anaringa ili mradi tu lawama
(Wasafi)

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret