Diamond Platnumz, Young Killer Msodoki - Pamela lyrics

[Diamond Platnumz, Young Killer Msodoki - Pamela lyrics]

Kwanza kako sexy pamela!
Kiuno kama kazaliwa Congo ebu ni ka date
Pamela! Mikogo kama samaki kamongo
Chumbani ni karate pamela!
Vurugu kama show za Manfongo navopenda deki
Pamela! Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo
Eeeh! Katoto katamu tamu
Kanapenda pipi na chewing gum (Anhaa)
Kimoko nacum cum kitanda kwichikwichi
Ni Bum Bum (Anhaa)

Eeh! Oh najua maana ya penzi burudani
Na ndio maana nakupa kokote
Singoji mpaka kitandani a-a-a-h yeah!
Pamela! Oooh! Oh! Oh!

Pamela! She is hotter than fire
Pamela! Ukimuona utagwaya
Pamela zigo lazima ntafire
Pamela! Na kapenda ile mbaya
Pamela!

Aiiiy! Eeh my heart ooh!
She de skata my heart ooh! Pamela!
Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh!
Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh!
Pamela! Eeh my heart ooh!
Kanaumiza my heart ooh!

Nilikutana nako Mbagala
Kwa kina Lufufu Mkandala
Mtoto mwali kidandala
Mtamu kwa nguna na sangala o-o-o oh naa!
Anavyopose mchokozi nikiwa namwaga dose
Napocheza na ngozi hunikosi
Pamela! Mpaka majonzi kwa njozi
Utamu kwa utosi sinaga ubitozi
Ni konzi pamela!

Oh najua maana ya penzi burudani (Ooh! oh)
Na ndio maana nakupa kokote
Singoji mpaka kitandani eeeeh yeah!
Pamela! (Pamelaa) oooh! Oh! Oh!

Pamela she is hotter than fire
Pamela ukimuona utagwaya
Pamela zigo lazima ntafire
Pamela ooh nakapenda ile mbaya
Pamela

Huh! Mwenye mdomo wa kulamba koni
Napozi za picha na moyoni nimekuficha
Picha ya mapicha picha
Wazushi wanayonipa nipa
Hayaumizi kichwa kichwa wala kunitisha
Usije nikatisha mood (Mood)
Kwa kufanya kusudi (Kusudi)
Ukaanza tena usiku na mchana
Ma nenda rudi (Rudi mama) kifuani sita
Tumbo hauna na ukikatika
Ndio kabisa Naumwa (Heheheh)
Njoo tucheze kibaku baku pamela!
Tuwakomeshe manyaku nyaku pamela!
Ukate taratibu yani nyatu nyatu pamela!
Kitandani unimeze ile kichatu chatu
Sikufichi namiss kumuchezo kako kila mara
Na ndio maana huwa napita pekupeku
Bila Ndala show ndefu kwa body
Nang'ala Ng'ala navuruga shape
Mwisho unabaki unagalagala msodoki!

Eeeh Eh! Pamelaaaa!
Oooh oh! Pamela!
She is hotter than fire pamela!
Ukimuona utagwaya pamela!
Zigo lazima ntafire pamela!
Na kapenda ile mbaya pamela!
Nakupenda sana

Eeeh! Eeeh!

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret