Diamond Platnumz - Utanipenda lyrics

[Diamond Platnumz - Utanipenda lyrics]

Tanta lala laaa ooh La la la la laaaa
M-m-m-mh

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina hanitaki hata Tale
Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagram
Kimwanaa si dada angu eti nae hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia
Ananifokea kama Sallam

Na magazeti ya nyumbani kwa
Kukuza habari si unajuagaa
Utasikia Tafalani eti Mondi
Kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia
Ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem
Wa zamani nlio wapitiaga

Ooh nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana aaah
Ndio adui mkubwa wa kesho

La la la la la laaaaa au je utanipenda gaa?
La la la la laaa au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa ati utanipenda gaa ooh
O-o-o oh

O-o-o-oooooh bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamati
Utadiriki hata japo kunipost
Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama mola ninusulu baba
Kama namuona mwanangu roho yangu
Tiffa Dangote anakwenda na mamaangu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie Sandra wangu mboni yangu
Jikaze usichoke huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga
Oh yeh yeh yeh navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya madem wa zamani
Yani He he heeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa) la la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa) la la la la la alaaaa
Eeeh ola la la lilaa ooh
I say

Kama namuona mwanangu roho yangu
Tiffa dangote ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu mboni yangu
Jikaze usichoke huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke (he he heee)

Eiiii ola lala lilaa
Oooh baby tudd Thomas

O-o-o ooh nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFI I I I

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret