Diamond Platnumz, Harmonize - Kwa Ngwaru lyrics

Diamond Platnumz Harmonize

Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿

Harmonize/Konde Boy [Rajab Abdul Kahali] Mtwara, Tanzania 🇹🇿

[Diamond Platnumz, Harmonize - Kwa Ngwaru lyrics]

Iyoo Lizer

Hmm i wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti nikuhonge vya thamani
Ama, niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami hmm
My darling, I need you love, oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love, oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda

Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni
(iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni
(iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni
(iyelewi)

Oh, baby asa dansi nikuone (kwa ngwaru)


Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru) oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Aaagah moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa 'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti
Usinijie na kibiriti (hasa we')
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (hasa we')
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (hasa we')
Ili asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati

Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (iyelewi)

Oh, baby asa dansi kidogo (kwa ngwaru)
Oh, wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru) oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Aaagah!
'Nataka kucheza chura na ingali umesimama
Aah, inama inama asa waonyeshe
Aah, inama inama unachezaje
Aah, inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Aah, inama inama ebu waonyeshe
Aah, inama inama unachotaje
Aah, inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aah, inama inama ebu tuonyeshe
Aah, inama inama unapigaje
Aah, inama inama si unataka vya pool table
Sa' mbona unajibana aah, inama inama
Ebu tuonyeshe aah, inama inama
Unalengaje aah, inama inama

Wasafi Record
Oya, wanangu wa kigogo (aah, inama)
Nipe za Mose Iyobo (aah, inama)
Vunja vunja kidogo (aah, inama)
Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret