Diamond Platnumz, K. Sher - Nimechoka lyrics

[Diamond Platnumz, K. Sher - Nimechoka lyrics]

Ooh ooh ooh ooh ooh ooh (A-A-A, AM Records)
Ah ah ah ah ah (ah ah ah ah ah ah ah)
Hey (ah ah ah ah ah ah) oh oh oh oh oh

Nimekuja ka vipi jibu utanipa
Mapenzi yako wapi ulohidi utanipa
Furaha kwangu imegeuka karaha
Uongo kwako umegeuka ukweli, baba

Ukweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha, baba

Nimechoka nimechoka
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh
Nimechoka nimechoka
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh

Kama siku ile uliporudi nyumbani
Ukasahau unampira tunzoni
Nikakuliza jana ulikuwa na nani
Ukashindwa jibu ukabaki umeduwa, baba

Ukweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha, baba

Nimechoka (ooh ooh ooh ooh ooh ooh)
Nimechoka
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh
(Ah ah ah ah ah) nimechoka (hey)
Nimechoka
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh
(Oh oh oh oh oh)

Tai hivi maneno yote
Nimechelewa nyumbani basi tushinde wote
Tuone ataleta nani
Na si unajua sinaga kabisa vimwaga pembeni
Ila huo umeme umesababisha foleni
Kumbe ndio maana una nu na nu
Na nu na tuu toka jana
Ila so vema mbele za watu kunitukana
Ndio maana una nu na nu na tuu toka jana
Ungesubiri hata chumbani tungеlewana
Oh oh oh oh (hey)

Nimechoka (hеy) nimechoka (usichoke)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh
(Oh oh oh, oh oh oh) nimechoka (usichoke)
Nimechoka (usichoke)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh
Nimechoka (nimechoka) nimechoka (nimechoka)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh
Nimechoka (nimechoka) nimechoka (nimechoka)
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh

Na na na na na na na na na na na na na na
Na na na na na na na na na na na na na na
Na na na na na na na na na na na na na na
Na na na na na na na na na na na na na na na

Interpretation for

Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret