Khadja Nin - Sina mali, sina deni (Free) lyrics

[Khadja Nin - Sina mali, sina deni Free lyrics]

Ahiya, ahiya kwa baraka, mimi napona
Kabisa, ni hajabu sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini, sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege ina cheka kama mtoto

Ahiya, mam'ahiya (O-o-o oh)
Sina haja, ya kitu mimi napona
I'm free, kama maji (A-a-a-h)
Anatembeya mpaka katika pori

Mimi, mi masikini (O-o-o oh)
Sina mali mali, sina deni (A-a-a-h)
Mali yangu baba ina ota kama maua
Ina pita kama nyota waka kama jua (Jua)
Pole, pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona

I'm free (O-o-o oh) kama hewa (O-o-o oh)
Ina ingiya mpaka fasi inapenda (A-a-a-h)

Mimi, ni masikini, sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba (O-o-o oh)
Ina ona kama macho (O-o-o oh)
Waka kama moto (O-o-o oh) ina lia kama ngoma

I'm free (O-o-o oh) Kama maji (O-o-o oh)
Ana tempaka mpaka kati ya pori

Kama hewa, kama macho (O-o-o oh)
Kama nyota, kama maji (O-o-o oh)
Kama mimi leo, mimi napona (A-a-a-h)

Kama hewa, kama macho (I'm free)
Kama nyota, kama maji (Ay, I'm free)
Kama mimi leo, mimi napona (O-o-o oh)

Ahiya, mam'ahiya (A-a-a-h)
Sina mali, Mungu, sina deni

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret