Diamond Platnumz, Lava Lava - Bado Sana lyrics

[Diamond Platnumz, Lava Lava - Bado Sana lyrics]

Nionyeshe unavyochumaga (bado)
Mchicha tembele (bado sana)
Waonyeshe unavyochumaga (bado)
Mchicha (bado sana)
Waonyeshe unavyochumaga (bado)
Mchicha tembele (bado sana)
Waonyeshe unavyochumaga (bado, Mr lG)
Mchicha (bado sana)

Ngoja kwanza nidangedange mambo
Yakuwa na mpenzi (Bado sana)
Nimezoea kwa Mpalange eti unipeleke Mbezi
(Bado sana)
Kutega unatega ila kupata masponsa
(Bado sana)
Tatizo nje shega ila ndani kujiosha
(Bado sana) we mgosi wakukaya
Ebu kuwa na hhaya (bado sana)
Tulikutoa Sigimbi
Leo unajiona wa Ulaya (bado sana)
Ka mnasepa sepeni mi kurudi nyumbani
(bado sana) ka mnakesha kesheni
Tikisha kama imeisha (bado sana)

Bado bado sana
Bado bado sana
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (bado sana)
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (bado sana)

Nionyеshe unavyochumaga mchicha tembelе
Waonyeshe unavyochumaga mchicha

Aii ako kamacho matatu usijione boss si
(bado sana)
Ukajishebedua kutuletea mapozi (bado sana)
Kwa vibia vitatu ndio eti uning'oe
(bado sana)
Niache kule bata eti Simba uoe (bado sana)
Wanao subiria (bado)
Dangote kufulia (bado sana)
Vinyimbo wataimba ila we!
Kunifikia (bado sana)
Eti kisa Kigali ndio atusalimi (acha)
Ndio maana demu wake wanamnani (ajajaja)
N'jomba Nchumali kachinja mang'ombe
Anizidi kwa kiti (acha bwana)
Cha ajabu kazidi ubonge
Ila kwenye muziki (bado sana)
Ka mnasepa sepeni
Mi kurudi nyumbani (bado sana)
Ka kukesha tukeshani
Au mizuka imekwisha (bado sana)

Bado bado sana
Bado bado sana
Nauliza mmechoka? (bado)
Mmechoka? (bado sana)
Nauliza mmechoka? (bado) mmechoka? (aya)

Tumpeleke msobe msobe wanangu msobe msobe
Tumpeleke msobe msobe ahmsobe msobe
Kushoto (msobe msobe) kulia (msobe msobe)
Twende kwambele (msobe msobe) kwanyuma

Wanangu nawarudisha utotoni (wapi?)
Kule utotoni (wapi?)
Niwapeleke utotoni (wapi?) kule utotoni

Sa twende yesa yesa yesa, ye yesa tena
Yesa yesa yesa, ye bado kidogo
Yesa yesa yesa, ye
Ya mwisho yesa yesa yesa, ye

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret