Mimi Mars - Pole (feat. Nandy) lyrics

[Mimi Mars - Pole feat. Nandy lyrics]

Ehhh, zombie
Mimi Mars chugga queen
The African princess
Hivi ushasikia
Mtu anaogeshwa na mdalasini
Maana sio jina anataja mpaika ubini
Tena akiumwa huaga hataki quinine
Anachokitaka kuniona mimi
Tena mkaka kwangu ndo kafalI ooh

Yani mazima
Kwangu hana shaka
Kwako atakuja tomorrow
Yani mazima

Nikuambie tu
Me ndo wa kwanza
Kama ukitaka kukiwash
Tunakiwasha
Nikuambie tu
Me ndo wa kwanza
Kama ukitaka kukiwash
Tunakiwasha

Nasema Pole
Wacha nikupe Pole
Mwezangu Pole
Wacha nikupe Pole

Utenifanya nini kwanza kwa mfano
Wee utajuaje tupo watano
Hata kwangu yaliyomo yamo
Ooh yaliyomo yamo
Nampa vya pwani vya kizaramo
Tena usijaribu mashindano
Huniwezi hata kimuonekano
Aah muonekano

Sina noma
Sina noma
Nachotaka kukuambia
Sisi tushapendana
Sina noma
Sina noma
Nachotaka kukuambia
Sisi tushapendana

Nikuambie tu
Nishajipanga
Kama ukitaka kukiwash
Tunakiwasha
Nikuambie tu
Nishajipanga
Kama ukitaka kukiwash
Tunakiwasha

Nasema Pole
Wacha nikupe Pole
Mwezangu Pole
Wacha nikupe Pole

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret