Diamond Platnumz, Navy Kenzo - Katika lyrics

[Diamond Platnumz, Navy Kenzo - Katika lyrics]

Yeah, yeah no, no
(Nahreel on the beat)

Katika katika eh
Katika katika eh
Katika katika eh

Nina midadi kayarumba (we)
Kibao kata ukinyonga (ona)
Mfukoni namavumba (we)
Rungu ndicihi linasunta, eh eh eh
Yani bo bo bo bo bo
Kana nikoshaga roho, oh oh oh
Yani nasimama de de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo wo wo
Baby gal, dance for me one time (Secreto)
Miuno feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
Zile za kibao kata (Secreto)
Baby gal, dance for me one time (Secreto)
Miuno feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
La la la la la la la la la

Katika katika eh
Katika katika eh
Katika katika eh
Katika eh katika
Katika eh katika
Katika eh (Mbrrokee) katika
Katika eh (Aiih, Ruubudan)

Yani katoto kandi kako ndi, ndi, ndi
Kamekazika yani ngi, ngi nyumba mbwi
Kako mbwi, mbwi, mbwi
Kana Misifa shangi, ngi, ngi
Nilikavizia kitambo (ah eh)
Leo kamenasa chambo (ah eh)
N'taakapakia na mgando (ah eh)
Nikajegeje ka rambo (ah eh) bumbai
Kana michezo ya ngomani sindimba lizombe
Nami nampatia za pwani muhogo wa jang’ombe
Yani eh eh eh eh eh
Kana nikoshaga roho, oh oh oh
Yani nasimama de de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo wo wo oya
Oh, nabembea yani siwezi kutembea
N'checheme na chechemea yani hadi na legea
Aki

Katika katika eh
Katika katika eh
Katika katika eh
Katika eh katika
Katika eh katika
Katika eh katika
Katika eh

Maumivu naugulia mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu ng'ang’ania
Ndizi kwa nyama napata mchecheto
Nakuna nazi kwa mkongojo (ah eh)
Naunga mchuzi wa sotojo (ah eh)
Uno la rosti rojorojo (ah eh)
Mikunjo fulani wabogojo (ah eh)
Kibao kata tenteme tenteme
Kilingeni kuzama uchutame
Huwezipata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
Nikalaze kwa bedi kitanda, eh (kwa ghetto)
Nikachazeshe samba, eh (Loketo)
Na kalivyo na bodi kinanda, eh (Sepetu, oh)
Tunguli zimenibamba, eh (Mobetto) mama

Katika katika eh
Katika katika eh
Katika katika eh
Katika eh katika
Katika eh katika
Katika eh katika
Katika eh

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret