Diamond Platnumz, Nay Wa Mitego - Mapenzi au Pesa lyrics

[Diamond Platnumz, Nay Wa Mitego - Mapenzi au Pesa lyrics]

(Iye) Haya we (Iye) Haya, haya we (iye)
(Haya we, Iye) Haya we
(Iye) Haya, haya we (iye, Haya we)
(Iye) Haya we (Iye) Haya, haya we (iye)
(Haya we, Iye) Haya we
(Iye) Haya, haya we

Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye
Mapenzi kupeti bwana we watakucheka
Na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah, mapenzi pesa wasikudanganye
Ni kupeti bwana we watakucheka
Na juhudi uifanye sio tu kuvavanya

Ehn kama mapenzi shilingi (uh huh)
Mi nimetoa hadi Murano nikakimbiwa (okay)
Vijonjo vingii (uh huh)
Nau Dangote n'lonao nikakaziwa
We ukitoa Murano mwenzako anatoa Bеnz
Mapenzi ni mchezo wa kishenzi
Pеsa mbele ndo atakuenzi
Kiulaini tu kama Zenji si umeasikia kunamvi
Aunt kwa moze alivyotulia bila hata chomvi
Na mtoto kabisa akamzalia
Si unakumbuka ya Wolper? (ah, wapi)
Dallas Kuchoka (saa ngapi) si akaondoka, oh
Tatizo unasikiliza sana magazeti

Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye
Mapenzi kupeti bwana we watakucheka
Na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah, mapenzi pesa wasikudanganye
Ni kupeti bwana we watakucheka
Na juhudi uifanye sio tu kuvavanya

Si unakumbuka kipindi kile
We unatoka na nenda kamwambie
Walisema una bonge la domo
Eti leo handsome si mtonyo?
Saa ndo maneno gani? Ah ah, ehn
Kabla hujafa hujaumbika
Usimuudhi Molana (haya we)
Tena usiombe yakakufika
Ya juzi sio jana (ah salale)
Na bora nienda zangu maana
Maneno yamekuishia
Nisije kuongea mwanangu mwishowe
Ukaja niharibia hata huyo Zari asingekupenda
Usingekua Diamond (Ah, ziache dharau)
Usinidanganye kilitamu (mi unanidharau)
Unatetea mapenzi umerogwa?
Mapenzi bila pesa si ushoga? Tai
Ah, le le le le nasikia mbuzi kala mukeka
Binti kaenda kwao (le le le)
Eti mafundi wamemuteka kakuachia mwanao
Sa nahisi unakosa adabu (ah, unanionea)
Huna ustaarabu (mbona yangu unayaongea)
Na n'takupa adhabu, oh
Tatizo kitu kidogo mpaka tugombane

Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye
Mapenzi kupeti bwana we watakucheka
Na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah, mapenzi pesa wasikudanganye
Ni kupeti bwana we watakucheka
Na juhudi uifanye sio tu kuvavanya

(Ha ha) haya we
Haya, haya we (haya we) haya we
Haya, haya we (haya we) haya we
Haya, haya we (haya we) haya we
Haya, haya we (haya we) haya we
Haya, haya we (haya we) haya we
Haya, haya we

Kisa musa t touch
Kisa musa ah (iye)
Kisa musa t touch
Kisa musa ah (iye)
Eh eh, eh eh haya we
Haya, haya we (iye) eh eh, eh eh
Haya we haya, haya we (iye)
Eh eh, eh eh haya we
Haya, haya we

Basi baba basi, eh basi
Mpe nyonyo

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret