Diamond Platnumz, Nay Wa Mitego - Muziki Gani lyrics
Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
[Diamond Platnumz, Nay Wa Mitego - Muziki Gani lyrics]
Trueboy's in the building, baby trueboy
Wasafi
Ah hivi nyi ma MC
Mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn)
Tushachoshwa kutwa mapenzi
Kabane pua nyumbani ah
Hivi nyi ma MC mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn)
Tushachoshwa kutwa mapenzi
Kabane pua nyumbani
Hata bibi yangu mi aliniambia
Mwanamke anahitaji kubembelezwa
Kupetipeti matunzo pia
Ukienda rafu utampoteza
Muziki ni mfano wa binti muzuri
Na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi
(uhn) ah, piga kimya
We ndo haufai kabisa hauna maana
Wabana pua kila siku mnarogana
Bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
Mbona unawachezea unawatema kama Big G
Mara Wema mara Joketi
Mara Naj mara Penny
Je mnafanya muziki mpati mbinti ooh ooh
Hata waze wazamani
Walishasemaga kazi na dawa
Chamuhimu jukwaani ni kuhakikisha wanapagawa
Kwa michezo ya kuringa ringa
Ndo hawa wanadata badilika usiwe mjinga
Utawakamata
Ah hivi nyi ma MC
Mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn)
Tushachoshwa kutwa mapenzi
Kabane pua nyumbani ah
Hivi nyi ma MC mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn)
Tushachoshwa kutwa mapenzi
Kabane pua nyumbani
Muziki wenu ushirikina ndio umetawala
Q Chilla analalama anasema umеmroga
Mganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa
Bila skendo za magazеti basi huskiki ah
Mi ni mti wenye matunda
Milele siogopi kupigwa mawe
Ubaya wenu wengi kayumba
Elimu mliitupa sandakalawe
Bado hujanishawishi
Bongo Flava inanipa kichefu chefu
Kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu
Mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki
Wabana pua nyie watoto sio riziki
Mnavaa nguo za dada zenu
Zinawabana mapaja nyie makaka duu
Ah, nyie watoto mchele mchele
(Haya Matusi bwana)
Kwenye show viuno mbele mbele
(Mbona unatutukana?)
Ah, nyie watoto mchele mchele
(Haya Matusi bwana)
Kwenye show viuno mbele mbele
Nimewanyamazisha
Brazameni vipi we bado unabisha
Mi nna mengi nnayajua
Ila we ni mtemi utaanzisha utata
Michezo yenu kutoboa pua
Bora ninyamaze usinipige mbata (oh, oh oh)
Ah hivi nyi ma MC (ma MC)
Mnachoimba kitu gani (hii)
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn, Ah, wapi)
Tushachoshwa kutwa mapenzi
Kabane pua nyumbani
(La la la la la la la la la la) ah
Hivi nyi ma MC mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
(oh oh oh) hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
(yeah, yeah) muasisi wa burudani (uhn)
(Oh oh oh) tushachoshwa kutwa mapenzi
Kabane pua nyumbani
Ha ha ha umepaniki brother
Ah, wapi nani kapaniki acha uoga dogo