Nyashinski - Aminia lyrics

Nyash

[Nyashinski - Aminia lyrics]

Yeh!
Niko hapa kuwapa muziki mzuri wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas'
Wanajiita lyricists, kwa hizi interviews
Na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika hit a million views, how

Ati nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri hata ungekwamia ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire
Secular lakini unaandika gospel fire

Si live a lie, najua n'ta-sound kama niko ma drei but juzi walai
Nilipanda matatu na trey na siuzi mayai
Nimetoka mbali aisee na siishi rongai

True story
Klepto si mtarudiana lakini
Hatujai achana tunaruadiana kwa nini
Na machali wa inshalla mi name na hawa vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher
Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear
Tukisimama hao na mimi mi ndio mna-prefer

Aminia! oh na na na

Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu
Au nkitoka niachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila converstation ni ka deja vu
Maisha imejaa na watu fake si uongo
Na visu zakunidunga n'kiwageuzia mgongo
Washa sense ntakafunga so wananyemelea
Siezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadamu mimi
Naeka imani kwa god si kwa sanam mimi
Ah, ka s'kupendi s'kufichi
No pretending hata simu zenu mi sishiki
N'kuwe pissed kwa nini, siko pissed niamini mi niko bied
Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
Maybe tu argue beats au beer situezi argue ati iko rapper anatoa hits ka mimi
Aminia

Aminia! oh na na na

Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza
Sijieki na don larry ama Martin Luther
Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi
Nkianza hii kitu ni watu wa few waliamini
Nabii hakosi heshima is'pokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Nabii hakosi heshima is'pokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Hii ni ya kila mtu uliza ka anapenda rapper akaniambia ako 50-50, yeah
Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki but ameambiwa ati muziki hailipi
Ka uko hapa juu ni passion bas' si kazi hata
Ka we ni rapper juu ni fashion hatukutaki hapa
Hii ni ya msanii yule anahangaika na guitar anaimba for free
Na ataendelea hata ka anajua hata hajalipwa, yeah

Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream
Siku moja joh niwewe wataita king
Jione umpanda stage na umeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika aminia

S'choki, s'choki, s'choki
Style mingi kushinda menu ya kinyozi
Aminia
Naeza fly wengine hawatoshi
Aminia
Aminia, aminia, aminia
Aminia

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret