Nyashinski - Now You Know lyrics

Nyash

[Nyashinski - Now You Know lyrics]

Huyo ni fala mgani anaweka ma mg'ari
Kwa list juu ya Ferrari
Ana Degree au journalist tu juu ana list (whoop)
Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi
Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na Kanyari yeah
Na naskia inasemekena
Ati rap zangu hukam na mkazo, na ile utamu ya reggea mama
Ma ordinari wananikubali
Na hata watiaji hawaezi kana
Kuna wale hupenda sauti yangu
Na iko wale husengenyana

Mama mama
Kijana wako amepotea, ni maskio tu ye anatoboa
Huku ndugu zake wakiendelea
Mwenyezi pekee anaeza muokoa, ki maisha amelegea
Ingawa hatuoni akitoboa, bado twazidi kumuombea amina

Yeah... sionangi haja ya ufisi
Sina njaa najua mpishi
Sijai fanya kazi ya ofisi
Sijai lala kaa sijadishi
Sijarap kitu kaa kUtoka 06 ivi
Trust me, siezi rust mimi
Ata niache mziki miaka hamsini
Nkirudi bado nawacrush nyinyi
Niko 1st mie, ndani ya party na nguo rasmi
Iimepigwa pasi
Hapo katikati napiga mic check
Juu niko party na niko night shift
Nlikua busy sikua najificha
Clearly you rappers missed your teacher
Vitu mnaandika zinachoma picha nkiwish singewacha
Kuwafundisha, sauti naskia ni

Don't waste your time wishing you're too proud my baby
Too proud to wish they had an easy way out
Let times get tough so they remember you are a blessing
When life is good they will forget to say

Naulizwa mbona nliacha mziki
Ati nlikua mkali juu ya mic na namisiwa na mashabiki
Nliacha game mapema hata kabla reffa hajapiga firimbi
Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi
Samahani nimepotea, shukrani kwa wale wamenifikiria
Hizo miaka zote nimekua missing, lakini iko kitu hamjaniambia
Kaa ningebaki bado, ungekua na taki ya kuskia nikiwaimbia
Ama by saiii mngenifanya vile mnafanya ma pioneer
Story kwa media ati nimechapa, niko juu ya madawa, nahangaika
Show ni ule jamaa aliimbaa 'Ada Ada' ebu kam u curtain raisie mnaija
It's not that serious, rap ni hobby
Bila mziki bado namanga
Ingekua career si ningekua nalia kuskia ati Naija Night Nairobi
Ambia new comer asijifeel sana
We ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda (tunakupenda)
Uki-kaka tutachoka na wewe ivo ndio ku uenda (ivo ndio ku enda)
Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu
Sikukaa siku mingi nkuachie nafasi ya kuchoka na mimi

So now you know
Shinsky
So now you know
Beat ya keggah
So now you know

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret