SewerSydaa Mkadinali - Aroma (SewerSydaa) lyrics

[SewerSydaa Mkadinali - Aroma SewerSydaa lyrics]

Brrt eeh joh the art
(Never never)
Uki-abusiwa Rome juwa rome ni ya romance
Kienyeji ako top ana miss tu romance
Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma

Kuna baridi tuna freeze
Ukame still, ma ng'ombe zinatoa ribs
Mapedi wako biz wanakinda ma riz
Wengine wana tuingiza na spliff
Ilibidi niingie sili nikinde sling
Ati juku ya stick
Madiwa wame-stop mawada huko chini, nichi


Chini kwa tips scene, tukipiga tunahama
Na tuna achanga hio dipo lawama (Lawama)
Hatuna kakitu
Laana tunarushianga fam' ya kamwana
Nukisha kisanda landlord anamblein
Harufu ya marijuana
Hosanna, adi akatuma wife yake
Aka tu preachia Hosanna
Chain huwa haipitishwi na nyuma
Ngwai inapasiwangwa pande left
Na ka uliskia ni rumours, ati uliona
Ukanusa na huna evidence
Zangu ni Quiver, Quiver
Reggae ikishika tunauguzanga picha
Labda tukuwache negative
Ambia Dj si ndio tulibeba ma mixer

Never go to war in an empty stomach
Uki-abusiwa Rome juwa rome ni ya romance
Kienyeji ako top ana miss tu romance
Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma

Sidai makasiriko kaskie vibaya na huko
Saa hii tukona Ruto
Acha tuone kama atajaza ama
Atachimba hio loophole
By the way nani alioa uko?
Saa hii ningekuwa nimeivisha hio ngoso
Tv yangu haijawai onwa mboso
Laptop passcode joh hukuwanga local
Niko tempted kuoa goshodo
Ass na top yake, what a combo
Mziza na uko kwa vyombo?
Enyewe vita zingine ni za roho
Anapenda kunirombosea
Nika anataka mi nipigane na riong'o
System ina force njaa
Iliforce jam, ndio nikachukua Psalms
Traffic cop hakumind though
Hii record mtaichezea kwa vinyl
Kuna chizi alishitia urinal
Wanapenda nikiwatusi in high note (Umbwa)
Kesi ya weed pelekeni high court
Kama mnaona ina wa appeal
Si ndio ma white rhino
Na sioni anytime kama tuta-go extinct

Never go to war in an empty stomach
Uki-abusiwa Rome juwa rome ni ya romance
Kienyeji ako top ana miss tu romance
Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma
Ndom yako hainanga aroma
Hio ndom haina aroma
Straight up na sipigi corner
Nataka ndom ina aroma

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret