Diamond Platnumz, Shetta - Kerewa lyrics

[Diamond Platnumz, Shetta - Kerewa lyrics]

Burn Records oh oh, oh oh
Wasafi clever Touch
Platnumz it's your boy She
Shetta de Shetta de Shetta yo, Baba Kaila
Ha ha kaila
Yeah

Kwanza umejazika kama mlima kitonga
Hapo mpaka mabitozi wanajigonga
Figure matata na kweli umekwenda skonga
Je napokumiss napu-call tunabonga
(Hello) Hello we ndio Mamitto (mitto)
Amini mi ndio Papito (pito) okay
Ah, we ndio Mamitto
Achana nao ya dunia yote mapito (mmmh)
Okay (yes) ah, we ni bonge la demu (demu)
Hata machizi wamesema bonge la shemu
(shemulake) amini we ni bonge la demu
Tupendane tupeane yaani kila sehemu

(And that's wassup)
We ndio Mama Kaila (Kaila)
Of coursе mi ndio Baba Kaila (Kaila)
(Yo, Baba Kaila) amini we ndio Mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni mataila ha

Oh we ni wangu tuu
Tеna waambie watuache tulale
We ni wangu tuu usije niacha
Nikachekwa na wale ona naimba
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya) ah, kerewa
Ayayaya (ooh ooh ooh)
Kerewa, kerewa (hayaya, Ah ah, katika)
Kerewa, kerewa (hayaya, Katika)
Kerewa, kerewa (hayaya, Okay)
Ah, kerewa (ha) ayayaya (ooh ooh ooh)

Yo, umenipa nafasi sitaki nikose (yes)
Sitaki mwendo kasi, sitaki nipote (mhmm)
Changanya kila kitu mpaka nikole (uhn)
Mi ni wako kila siku nipoke, ay
Jua kweli nakupenda mama
Siwezi kukuigiza drama (mhmm)
Vicheche nawakatalia sana
Na nafurahia pia unabania wana (mhmm)
Wangawanga wanasema unifai kabisa (oh oh)
Wanatamani nikuache kwa visa (oh oh)
Wengine wanataka nikuuze ka hisa (hey)
Ila mchizinimegoma sikuachi kabisa (ah ah)

(Ah, yeah) we ndio Mama Kaila (Kaila)
Of course mi ndio Baba Kaila (Kaila)
(Yo, Baba Kaila) amini we ndio Mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni mataila ha

Oh we ni wangu tuu
Tena waambie watuache tulale
We ni wangu tuu usije niacha
Nikachekwa na wale ona naimba
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya)
Kerewa, kerewa (hayaya) ah, kerewa
Ayayaya (ooh ooh ooh)
Kerewa, kerewa (hayaya, Ah ah, katika)
Kerewa, kerewa (hayaya, Katika)
Kerewa, kerewa (hayaya, Okay)
Ah, kerewa (ha) ayayaya (ooh ooh ooh)

Ah sa usiniumize basi (hayaya)
Ukanipa wasi wasi (hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
Moyo ukanienda kasi (hayaya)
Sa usiniumize basi (hayaya)
Ukanipa wasi wasi (hayaya)
Ah, kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
Moyo ukanienda kasi (hayaya) ah, si unajua
Wenye chuki na hiyana wametukania sana
Sana usiku na mchana wakiomba kuachana
So usiniumize basi (hayaya)
Ukanipa wasi wasi (hayaya)
Na kaugonjwa ka nafsi (hayaya)
Moyo ukanienda kasi (hayaya) ooh ooh ooh

(Hayaya) yo, Baba Kaila
Ha ha (hayaya) yo, Chief Q mbe
I don't forget, I got my boy Dangote
(hayaya) kijumu Stage
Wassup (hayaya) angalia mbele
(Burn Records)

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret