Diamond Platnumz, Shetta - Nidanganye lyrics
Diamond Platnumz [Naseeb Abdul Juma Issack] Tandale, Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
[Diamond Platnumz, Shetta - Nidanganye lyrics]
Holla holla
Niko shetta de Shetta de Shetta
Okay shetta de Shetta de Shetta
Okay shetta de Shetta de Shetta
Okay yo, Chief Q the boss
Chief Q holla
We bora nidanganye, danganye, danganye tuu
Ukiniambia ukweli nitaumia
Hata kama nikikukuta chumbani
Mutupu umekombatiwa
Oh, nidanganye, danganye, danganye tuu
Ukiniambia ukweli nitaumia
Si unajua kwako sijiwezi (uhn)
Mi siwezi nitalia
Uhn, baby nakupenda ndio
Sikiza moyo wangu unayokwenda mbio
(Yaani kasi) usinipe wasiwasi
Nighaasi ila ukinitenda sio uhn
Nakutaka wewe tu baby boo, higher
Nidanganye wewe tu uwe true lier
Ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire
Nipige kama kinanda na mi niimbe kama kwaya
(That's wassup) kitaa kuna tetesi
Eti machizi kibao wanakuona mwepesi
Sihitaji ukweli baby please
Sitanuna hata nikikufama na KGT uhn
Niambie kaka yako tu basi
Love linanipa stimu kama nyasi
Japo nipo fit kama nyati
Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi
We bora nidanganye, danganye, danganye tuu
Ukiniambia ukweli nitaumia
Hata kama nikikukuta chumbani
Mutupu umekombatiwa
Oh, nidanganye, danganye, danganye tuu (okay)
Ukiniambia ukweli nitaumia (that's wassup)
Si unajua kwako sijiwezi mi siwezi nitalia
Hekima na busara zishakumba fikra zangu
Hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu
Uje unikombate upokee zawadi zangu
Kiss sio lazima danganya mashavu yangu eh
Ukweli unauma na nikijua moyo itauma
Fanya siri kama unaiba mali ya umma
Na nikistuka nidanganye danganye tu kaina
Kwako nimefeel ass mi mpofu
Nimezama kwenye hiki kina kirefu
Nimetoka Tanga na haya mahaba usinichukie
Nataka unikosehe mamushika nijickie
Njoo nidanganye mpaka wanangu waniaminie
Kama unanimisi njoo maskani uniulizie
Japo wajanja wanakata tu dau
Kukubali sio mbaya ila usinisahau
Niigize angalau
Ingawa nyuma ya pazia madharauu okay
Niigize angalau
Ingawa nyuma ya pazia madharauu
(Hey)
We bora nidanganye, danganye, danganye tuu
(Danganye tuu)
Ukiniambia ukweli nitaumia (danganye)
Hata kama nikikukuta chumbani
Mutupu umekombatiwa (Oh oh, hey hey hey)
Oh, nidanganye, danganye, danganye tuu
Ukiniambia ukweli nitaumia
Si unajua kwako sijiwezi mi siwezi nitalia
Ukweli unauma (yes) na nikijua moyo itauma
Baby nakupenda ndio
Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio
Ukweli unauma na nikijua moyo itauma
Okay nakupenda ndio
Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio
Ukweli unauma (okay) na nikijua moyo itauma
(Ah, Platnumz) nakupenda ndio
Hey (Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio)
It's your boy the President
Shetta, Sh, Sh, Sh, Sh
Shetta, Sh, Shetta, Sh, she
(Ukweli unauma) ah, Shetta, Sh, Sh, Sh, Sh
Shetta, Sh, Shetta, Sh, she
(Moyo itauma) okay (nakupenda ndio)
Niko KGT yeah
Ah, KGT Shadeed (ukweli unauma)
Shadeed, Shadeed (moyo itauma)
Nakupenda ndio nakupenda ndio
Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio
Ukweli unauma na nikijua moyo itauma
Nakupenda ndio
Sikiza moyo wangu unavyokwenda mbio inatosha