Sir Yongo - Nia lyrics

[Sir Yongo - Nia lyrics]

It's Sir Yongo!

So lemme write a song
For the love of my soul
(my soul)
Nampenda sio siri, kuna mengi yamejiri
Ameninasa corazon, niko juu horizon (napepea)
Ananihibu amekiri, huyu mrembo ni hatari

So lemme take a spear, I defend my dear
(my dear, my dear, my dear)
Hata wakitubania, kila kona twaingia
Mpenzi aminia, ako poa mara mia (mia)
Dawa yangu mjarabu wenye gere wataumia
Watajifia

Sitobadili yangu nia
Kwako ninajivunia
Nyonda wangu maridhia
Kila siku nitakupenda dear



Sitobadili yangu nia
Kwako ninajivunia
Nyonda wangu maridhia
Kila siku nitakupenda dear

Mrembo kama wewe ndiwe unanifaham
(unanifaham)
Unajua nachopenda, unajua zangu ham
Everyday in the morning you wake
Me with your kisses
(kisses)
We don't care about them
We don't fear their disses

So tell me what you like, movie
Music or a hike
(or a hike)
Or I take you to Carlitos, do you wanna drink
(Jacaranda)

Sitobadili yangu nia
Kwako ninajivunia
Nyonda wangu maridhia
Kila siku nitakupenda dear
Sitobadili yangu nia
Kwako ninajivunia
Nyonda wangu maridhia
Kila siku nitakupenda dear

I'm in love with you
Baby, I'm in love with you
Najivunia, you, you
I'm in love with you
Baby, I'm in love with you
Najivunia, yangu nia
To be with you
To be with you, you

Sitobadili yangu nia (sitobadili yangu nia)
Kwako ninajivunia (najivunia)
Nyonda wangu maridhia (oooh)
Kila siku nitakupenda dear (nitakupenda sana)

Sitobadili yangu nia (hi baby, I love you)
Kwako ninajivunia (najivunia)
Nyonda wangu maridhia (maridhia)
Kila siku nitakupenda dear
(nitakupe, nitakupenda)

Wee Jahvy!
Mwambie shemeji yako mi nampenda sana baana
Bonny! Kamaa!
Mwambieni shemeji yenu mi nampenda

Swadakta!

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret