Trio Mio, Bensoul - Kontrola lyrics

Trio Mio

Bensoul [Benson Mutua Muia]

The song has garnered positive reactions from listeners, praised for its energetic beats and musical production. From start to finish, it is described as a hit, with Trio Mio receiving appreciation for his performance. The collaboration with Bensoul is well-received, and the song is considered a potential December anthem. Fans express admiration for Trio Mio's versatility and swag, and the track is deemed a banger. The combination of Trio Mio and Bensoul is acknowledged as a great duo, with their collaboration adding to the list of notable releases in 2023. The song is recognized as a vibe and a fitting way to end the year, earning approval not only locally but also from international listeners. The positive feedback extends to the instrumental, lyrics, and overall production, making it a standout December jam. Trio Mio is applauded for elevating Kenyan music to another level, and the collaboration is seen as a success. The song receives endorsements from various listeners, including those from Nigeria. Overall, Trio Mio and Bensoul are commended for their splendid work on the track, which is considered a highlight of the music scene in 2023.

[Trio Mio, Bensoul - Kontrola lyrics]

Oh yeah yeah
(Aaanhuh)
Love love love love yeah
(Ayo track ni ya Leo)

Ni wikendi
(Trio Mio)
What shall we do
(Tufanye nini?)
Tukate maji
(Very nice)
Pewa kitu

Tuko chuom tunachill na macharji
Ka huna form kam u-feel burudani
Na ukinusa harufu flani iko hewani
Usituulize maswali
Kuna ndom, kuna chingri na majani
Ka unakuom kam na ziggy na kasomething
Tuko zone tuko fiti tuko maji
Marijuana na kajablin′



Elevating mood, celebratin' (celebrate)
Tuko veggies, mmh medicating (medicate)
Kuna peng ananicheck salivating (salivate)
Navigate juu nadai twende mechi
Mambo freshi madam wee ni keki
Na unafanya naji- uh, sehemu nyeti
Shawty mfine mi for real nmekudedi
Mzing niko ready, masteam za wikendi

(Yeah, yeah yeah)
Leo niko mandom
Niko on
Niko on, niko on, niko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Shika remote (shika remote)
Iko on (iko on)
Tuko on, tuko on, tuko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Ni wikendi
What shall we do
Tukate maji
Pewa kitu (kitu)

Kikam kikikam kikikam kikikam
Niko na hamu ya kuzama kwa karam
Party haram imejazwa ma-madam
Kama umeng′am (zagadat)
Nikatam nikatam nikatam nikatam
Kwenye sahan mi sijai bakisha
Ati, msupa wako anaswitch position
Nishaiwakisha
Ikikam pitisha
Ati, celebrating

Ni wikendi (ni weekend)
Sabi girls wamedunga mini sketi (mini sketi)
Tuko out everybody operating (operating)
Happy birthday baby kata keki (kata keki)
Cheki setting, nikiseti
Mabadeng mabadeng kuna mechi
Lazima nitingishe neti
Siunajua kitandani mi ni Messi

Leo niko mandom
Niko on
Niko on, niko on, niko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Shika remote (shika remote)
Iko on (iko on)
Tuko on, tuko on, tuko on
Na wewe ndo kontrola
Wewe ndo kontrola

Ni wikendi
(Tulewe)
What shall we do
(Tufanye nini?)
Tukate maji
(Very nice)
Pewa kitu

Ni wikendi
What shall we do
Tukate maji
Pewa kitu

Weekend imenice
Weekend imenice
Weekend imenice
Weekend imenice

(Cheki)
Weekend imenice tunachafua mamzinga
Meza vile imejaa tunachanganya madiva
Watupie mirista, pandisha kasteam na
Ikibamba sana tunadimisha mastima

Iyo weekendi eeh wobokele
(Wobokele woh)
Iyo weekendi eeh wobokele
(Wobokele woh)
Cheza na madenge na madranya wana madiaba na majegi bigi
(Wobokele woh)
Cheza na madenge na madranya mpaka chini mpaka chini na ma
(Wobokele woh, woh!)

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret