Yammi - Kiuno lyrics
[Yammi - Kiuno lyrics]
Aya aya aya aya aya
Namkisikia nimeumwa nimelazwa nimekonda
Nime dead (Yale mapenzi)
Namkisikia
Ameumwa amelazwa amekonda amedead
(Yale mapenzi)
Namsiulize kwangu amefuata nini
Ni nyama kwa nyama maini
Nimezama kina mpaka chini
Na navyodeka sijui ntamwacha lini
Na pengine
Yeye ndo anafanaya niwe loyal
Mahaba yake yananichanganya
Sitaki mwingine
Yeye ashanitouch kwenye moyo
Midomo yake akinikiss mwaaa
Si anapendaga kiuno kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Na mi napendaa shoo
Kampa baba, kampa baba, kampa baba
Anachopendaga kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Ninachopendaga kampa baba (baba ooh)
Kampa baba (baba ooh)
Kampa baba (baba ooh)
Kinachofuata mchana tunakiwasha
Usiku tunazima taa
(Yaani ta ta ta)
Na mimi hapa nampa anachokitaka
Sindimba chakacha
(Yaani ta ta ta)
Allooo
My baby mwenzako nyang’a nyang’a
You know we ndo my sweety banana nana
Baisho I love you, baby, ooh na na na
I'm in love unanicontrol
Ya pengine
Yeye ndo anafanaya niwe loyal
Mahaba yake yanichaganya
Sitaki mwingine
Yeye ashanitouch kwenye moyo
Midomo yake akinikiss mwaaa
Si anapendaga kiuno kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Na mi napendaa shoo
Kampa baba, kampa baba, kampa baba
Anachopendaga kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Ninachopendaga kampa baba (baba ooh)
Kampa baba (baba ooh)
Kampa baba (baba ooh)