Diamond D - Kizaizai lyrics

[Diamond D - Kizaizai lyrics]

Yanaanza kama safari twende folani ukaone
Kumbe yana nguvu ni hatari
Ukishanasa ndio uponie
Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih

Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha (Kizaizai)

Yananyima furaha yanakosesha raha m-m-m-mm
Tena usiombe kupenda uliempenda ajuee
Tena usiombe kupenda uliempenda ajue
Amani utakosa Karaha jamani eeeh
Dunia tena chungu kufa utatamani eeh
Mungu aliumba dunia na Maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih



Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha (Kizaiza
Baba na mama watake chakula tamu ni sumu
Mashoga sasa wanafiki kulala nanyi ni ngumu
Eeh yanauma tena yanauma

So Mkumbatie akicheza ucheze nae
Akiringa aeende mkumbatie akikata ukate nae
Akiringa aeende

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret